Kaka kinachofanyika ni kwamba hao magraduate wa vyuo vingine wanatumika kama cheap labour it doesn't matter na job position once ukiqualify basi watakubana kwenye salary cuz hivi vyuo visivyo na majina wao chochote utakacho wapa ni poa tu cuz degree zao wamezipatapata hazina viwango vinavyokubalika kitaifa na hata kimataifa....na unaweza kunipa sababu ya vyuo vyao kutokuwa na majina???
Hatuko kwenye ulimwengu wa ujamaa, Naamini saizi yako ya kuchanganua mambo ni watoto wa kindergarten. SIPATI TASHWISHI KUAMINI KUWA HAPA JF ULIKUWA UNAPITA TU.