Fideline Iranga amekuwaje?

jamii kwa umbea Hamjambo.yani nawaamkia kabisa..Dada wa Watu haumwi ila ni mambo ya Modeling ili aweze kwenda sawa na ma modo wa kimataifa ilimpasa kupunguza mwili wake.inamaana nyeee mueona hizo tumbona zile za Bday ya Martin kandinda hamujaziweka ambazo anaoneka vizuri kiasi flani.Mshindwe na umbea wenu muwe unatafuta source ya habari na si kuguess tu hapa Nyo******** foooooo

Huyu demu anaumwa kweli kama mtakumbuka miaka kama michache iliyopia alimtoaga boyfriend wake kwenye gazeti la udaku Marehemu Noel Nyangezi RIP baada ya kumfumania RG. watu wote wanajua kilichomuua Noel ni haya mambo ya leo. Pia huyu dada huwa anajiuza pale RG sana tu.
 
Ni kweli na wala sio umbea katika hili........Noel was a buddy of mine
 
kama alivo pungua unene, nywele zake zikawa za kisomali na akawa na ugonjwa wa midoma na ngozi atakuwa anaugua........., kama hakuna dalili zozote kama hizo atakuwa ana keep........, kama hana nia ya ku keep..... atakuwa ana bonge la DEPRESSION!!
 
jamani fide amepungua had amekwisha. Tatizo sijui ni ugonjwa au ndo diet , watu wamjini mtujuze. We unamwonaje kapendeza au kaharibu? Angalia picha nilizoattach
Inno tafadhali acha kupost picha za vitisho humu!ame modify mpaka rangi ,naoogoopa!maana alivyo kuwa anapenda kujinusu uchi na sasa full wraps inanifikirisha!
 
jamani fide amepungua had amekwisha. Tatizo sijui ni ugonjwa au ndo diet , watu wamjini mtujuze. We unamwonaje kapendeza au kaharibu? Angalia picha nilizoattach
92541f522dcf6ffa812e2e94fdaeb5cb--funny-monkey-pictures-funny-pics.jpg
 
Back
Top Bottom