Upiversity
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 3,487
- 2,634
teh teh teh teh...gundi zishaanza!hahahahahahaha...tuanze sasa....kabla ya kujibu hiki,declare kwamba ndio kilichokufanya uondoe heshima aliojijengea Fid,kama ulivyosema kwenye para ya kwanza?
Declare ili upigwe mawio hadi machweo,son!
Yes, hiyo ni moja ya sababu nimemshusha vyeo, ana-copy mpaka ambavyo havistahili, ushahidi huo hapo juu
teh teh teh teh..em nambie kwanza maana ya 'Propaganda'..afu unambie aliekwambia Fid anaandika ngoma kwa hadhira ya Tanzania PEKEE nani?.tuanzie hapo
Afu unawajua Washirika Tanzania Stars?!...wao wanaimba dansi,ila waliimba nyimbo Afunguliwe Mandela back in the 90's,wakati Fid hajajua hata Rap ni nini!(nahisi alikuwa bado anakamua ng'ombe maziwa Mwanza)..je na wao waliwaiga G-Rappers wa Marekani?
https://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/101485-hizi-ni-propaganda-lyrics-fid-q.html
Lyrics hizo hapo, hebu soma labda utaelewa anafanya kwa hadhira ipi.
Mandela aliua sio? Bro, umesoma na kuelewa nilichokiandika kweli?
https://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/101485-hizi-ni-propaganda-lyrics-fid-q.html
Lyrics hizo hapo, hebu soma labda utaelewa anafanya kwa hadhira ipi.
Mandela aliua sio? Bro, umesoma na kuelewa nilichokiandika kweli?
Kwa hiyo Wewe ulitaka Fid q as I express feeling zake kwa mtu aliyemsaidia kisa yupo jela?
Unajua kwa undani nini kilipelekea kifo cha Steve 2k??
Na unajua alifungwa( Castro) kwa manslaughter na sio murder ndo maana hadi Sasa Castro yupo kitaa!!
Wewe huwezi Ku_plea mchizi wako aachiwe toka jela??
Unafeli sana broh
Afu skia son,nani alokwambia harakati za kutaka watu waachiwe toka mikononi mwa vyombo vya dola zilianzia marekani?.....usinambie una tatizo na matumizi ya neno "Free".as used by Fid aisee useme eti kakopi!hiyo itakuwa NONSENSE!
Tunazungumzia rap hapa mtu mzima, mind the context please. And, i'm officially done arguing with you brother, you're officially a typical JF 'great thinker'. Nimenawa mikono bro. Peace!
Fid Q is a FRAUD.. Ni bingwa wa kutafsiri nyimbo na kazi za sanaa za watu wengine na kuzifanya zake. 99 Percent ya mistari ya Fid ni copy and paste. Anakopi kwenye nyimbo, ana copy kwenye vitabu, ana copy kwenye movie.
" Maisha ni kioo ukiyachekea na yenyewe yanakuchekea " ame copy kutoka kwenye kitabu cha John Mason " The Power Of Positive Thoughts ".
Joh Makini aliwahi kuimba " Hii mistari yangu original, sio ya ku copy kwenye vitabu "
Kwa mantiki hii wote wanaofanya sampling hawajui sanaa ? Tukianza na 2Pac ambaye Dear Mama alichukua instrumental na ngoma zake nyingi tu amefanya sampling ...., Bofya hapo chini uone ni ngoma ngapi...
2Pac | WhoSampled
Kwa Ufupi....
2Pac:
Has sampled others 415 times.
Has been sampled 424 times.
Has been covered 27 times.
Has been remixed 61 times.
Notorious B.I.G:
Has sampled others 314 times.
Has been sampled 1,053 times.
Has been covered 20 times.
Has been remixed 40 times.
Kwahio unless unataka kubadilisha Rules of the Games..., wewe unayoiita Sanaa sio Sanaa....
Hip Hop ubishi!? Kuna watu wamezaliwa kubisha.. Na nakuhakikishia huwezi kumshinda hata uwe na ukweli kiasi gani.
Afu unawajua Washirika Tanzania Stars?!...wao wanaimba dansi,ila waliimba nyimbo Afunguliwe Mandela back in the 90's,wakati Fid hajajua hata Rap ni nini!(nahisi alikuwa bado anakamua ng'ombe maziwa Mwanza)..je na wao waliwaiga G-Rappers wa Marekani?
Sahihisho bro! Mfalme feki wa hiphop TZ Fid q kaanza kurap kwenye 90's