danhosnoop
JF-Expert Member
- Oct 21, 2014
- 2,721
- 10,532
mkulima akimeza mbegu jembe halikosi mwenyewe/
nahisi nliumbwa ili unipende yani sio lazima unielewe/
naweza toa lakini mimi nsipewe/
mimi naeza taka kuoa lakini kwenu wakakataa usiolewe/
fid,danger
Mkuu tuulize sisi watu wa maugomvi! ya sikio achana nayo hasa ikikupata kwenye temple unaweza kukata mazima! jicho mwendo wa kuumuka na kupasuka tu tena sio jicho lenyewe labda akupe konzi la jicho hapo utajambia puani na kupulia takoni!nakubali ni fasihi ila nikiangalia katika hali ya kawaida ngumi ya jicho inauma kuliko ya sikio...kama vipi ingeanza akikupiga ngumi ya sikio wewe ndo upige ya jicho umalize kesi!...konde la jicho likikiupata hata nguvu ya kupiga ya sikio inakata
Huwa najiuliza sana, na sijui inakuaje/
Unapomuomba Mungu akuondolee wanafiki, ndipo unapowapoteza washikaji/
Huwa najiuliza sana, na sijui inakuaje/
Unapomuomba Mungu akuondolee wanafiki, ndipo unapowapoteza washikaji/