Weka hayo mashairi tuyaone!
Na haka pia ''Maneno yao matamu,midomo yao inanuka'' - Propaganda
"Uzuri na urembo wa kweli upo ndan wa nje mnajiongopea muuza sura usikose amani makunyanzi yakikutokea", propaganda
Ielewe mitaa joh, sio propaganda mkuu
maisha kam kioo ukiyachekea nayo yanacheka @ king fid q
Yaap nlikosea jombaa
Dear God hana noma mpaka kala Jeremiah kala tuzoOMG Seriously ''Kala Jeremiah'' now plofiled as a long time artist !
Any way straight to the thread intention
''Unakula nao happy leo, Kesho wanamkata Mkeo''
Fid Q - Sihitaji Marafiki
Chief huu mstari kwenye Ngoma ganKuna mstari anasema "Mpende mkeo na siri zako mwambie Mama yako" Hapa funzo ni kwamba Mama pekee ndio anaweza kukufichia siri zako na akazichukulia kama ni zake.