Gang Chomba
Platinum Member
- Feb 29, 2008
- 20,734
- 4,871
Acha hzo wew mtoto wa kiume unakuwa mbea! kaibe na wew tuzione zako bado mpya!
sasa umbea hapo uko wapi?
the thing is jamaa anaiba mashairi ya wana malenga na kisha anatupia kwenye mistari yake.
onja tena uipate radha halisi ya Gang Chomba