Fid Q: Best Quotes from his music, his interviews & from himself

Fid Q: Best Quotes from his music, his interviews & from himself

Washkaji wengi ni wanafiki kama kamasi ndani ya pua/
Usipowatoa wanaziba fasta ushindwe kupumua/
na ukiwatoa wanatanda usoni ili usijione unajua.

Fid,neno
 
Mwanadamu amemtawala mwinzie kwa kumuumiza,
Anakwapua mpaka asivyovihitaji bila kubakiza.
Fid,hey lord
 
Uchumi uliopo,haupo kwa maslahi ya wengi/
Siasa imekua ni uhuni baadhi ya viongozi ni wezi.

Fid,hey lord
 
Tunageuzwa ma-house boy na wanaozuga kutu-adapt

Fid,hey lord
 
We fkiria wangapi wananuka mdomo,MIC harufu wameiachia

Fid,hey lord
 
Kiumri nimekua na mziki tangu utotoni/
Vitu vingi nnavyofanya MCs huvifanya ndotoni.

Fid,hey lord
 
Mi ni nabii pekee anaekubalika kwao/
Zaidi ya msanii mazee nataka kua mshika dau.

Fid,hey lord
 
Ukiwa wa ukweli hau-bounce na hautafeli,
Bingwa anashika fasta kama mimba na ma-house girl

Ielewe mitaa
 
Wananiita mamlaka ya reli,kwa hii TRAIN authority

Fid,ielewe mitaa
 
Naishi kiboss na usanii haupotei,
Natumia note tangu ina sahihi ya mtei.

Ielewe mitaa,fid
 
Nletee mabumunda,jeshi niko vitani/
nkikuta mnaabudu punda ntawapelekea majani.

Ielewe mitaa
 
Fid Q the legendary namkubali sana akiwa na Mchopanga.
 
Kwenye ukurasa wake wa Insta...dada mmoja alimwambia Fid q nakupenda hadi naumwa

Reply toka kwa Fid Q..."ugua pole dada"

hahaha niliona na nilimuelewa sana!
 
Nimeona tofauti kubwa sana ya thread za "Timu diamond" na "Timu Ally Kiba" na hii

Fid Q Unajisoma

Huyu jamaa ni watofauti sana ! IQ yake ina furahisha!
 
Matumizi bila akiba,fedha zitatukimbia/
usupastaa mzigo wa mwiba,ukiubeba utaumia.

Fid,august 13


Duu Hapa amehimiza watu kuweka akiba na pahapo anawashauri watu wasilewe na Usuperstaa
 
Back
Top Bottom