Fid Q: Best Quotes from his music, his interviews & from himself

Fid Q: Best Quotes from his music, his interviews & from himself

hata mbalamwezi haing'ai bila kuchomoza/
mkono ukiumia mdomo faster huja kuupooza/
mdomo ukiumia mkono huja kuupangusa tuu/
kama hujashuka bado upo juu,kumbuka sio unasusa tu/
vigumu kua fid q,mi sio ndumu unayoweza vuta tu/

fid,nyota ya mchezo
 
hata mbalamwezi haing'ai bila kuchomoza/
mkono ukiumia mdomo faster huja kuupooza/
mdomo ukiumia mkono huja kuupangusa tuu/
kama hujashuka bado upo juu,kumbuka sio unasusa tu/
vigumu kua fid q,mi sio ndumu unayoweza vuta tu/

fid,nyota ya mchezo
 
mafanikio huletwa na ndoto yenye deadline/
juhudi,maarifa,ujasiri wa kumlaani shetani/

fid,fei
 
ni rahisi kua baba mzazi,lakini kua baba ni kazi/
inahitaji muongozo safi,utashi na kukidhi mahitaji/

fid,fei(dedication to his son)
 
me sio supastaa,niite national icon/
am internationally known kama tyson/

fid,ngosha the swagger don
 
mkulima akimeza mbegu jembe halikosi mwenyewe/
nahisi nliumbwa ili unipende yani sio lazima unielewe/
naweza toa lakini mimi nsipewe/
mimi naeza taka kuoa lakini kwenu wakakataa usiolewe/

fid,danger
 
" ...kiburi cha jeraha ukinipoteza naacha kovu"

Fid Q "13"
 
jamaa ni mkali na mashairi yake yamesimama...mashairi yake ni ya kifalsafa ni lazima uwe mweledi ktk kung'amua anachomaanisha.
 
Kuna kipande kwenye wimbo wa Young Killer(13) anasema "Nafasi nilizo zichezea haziwezekani kurudi lakini naweza kuzitengeneza nikiongeza juhudi".
 
Huyu anayewauzia wasanii magari ni Nani,kwani yanashinda gereji kuliko barabarani_Bwana misosi ft fid q na kiroboto.
 
"anza kuwavuta walio karibu,walio mbali watasoge" nimesahau ni mstari wa nyimbo gani!
 
mkulima akimeza mbegu jembe halikosi mwenyewe/
nahisi nliumbwa ili unipende yani sio lazima unielewe/
naweza toa lakini mimi nsipewe/
mimi naeza taka kuoa lakini kwenu wakakataa usiolewe/

fid,danger

Huu mstari nime upenda.
 
nakubali ni fasihi ila nikiangalia katika hali ya kawaida ngumi ya jicho inauma kuliko ya sikio...kama vipi ingeanza akikupiga ngumi ya sikio wewe ndo upige ya jicho umalize kesi!...konde la jicho likikiupata hata nguvu ya kupiga ya sikio inakata
Mkuu tuulize sisi watu wa maugomvi! ya sikio achana nayo hasa ikikupata kwenye temple unaweza kukata mazima! jicho mwendo wa kuumuka na kupasuka tu tena sio jicho lenyewe labda akupe konzi la jicho hapo utajambia puani na kupulia takoni!
 
'usmart anautinga, majumba mandinga, ya bwna almasi. je hiz track za harakati ni ujinga? hapana kushka chart sio kpaji n bahati...sio unachana kigum kama fid q kisa....'siri ya mchezo. Huyu jamaa mkali kwenye lyrics(2nafurahi) ila ajaribu kufanya vi2 viwe commercial kdgo kwa faida yake!
 
asilimia 85 ya quotes anazoweka kwenye mashairi yake anaiba toka kwa wana malenga wetu.

ni uvivu wa wabongo kwenye kusoma ndo maana wanamuona jamaa mkali na anatoa quotes mpya.
 
Huwa najiuliza sana, na sijui inakuaje/
Unapomuomba Mungu akuondolee wanafiki, ndipo unapowapoteza washikaji/
 
Hakuna Rafiki M'baya Kama Rafiki Yako Mwenyewe,unakula Naye Happy Leo Kesho Anamtaka Mke [sihitaji Marafiki]
 
Back
Top Bottom