Fid Q: Best Quotes from his music, his interviews & from himself

Fid Q: Best Quotes from his music, his interviews & from himself

hiki ni kijiko unachokiona,baada ya kula kwa mkono/
ndomu usioiona mpaka ukishafanya ngono/
neno la kuponya lililokosa mdomo/
na hili bonge la ngoma kwenu,kwangu ni kama somo

chorus fid,wazo la leo with stamina
 
Noma sana huu mstari una ukweli Mwingi sana!
 
napenda ustar nachukia mbwembwe zake,
unapospeak truth kwa booth,alafu wajinga hawaku.....
 
kuteleza sio kuanguka,mbaya ukishindwa kunyanyuka

fid,juhudi za wasiojiweza.
 
anaefanya hajui chochote,anaejua hawezi fanya

fid,juhudi za wasiojiweza
 
unataka kuchukiwa na mjinga?mwambie akikosea/
ukweli sikuzote unapigwa pingu,uongo uzidi enea

fid,juhudi za wasiojiweza
 
ambae amechoka kufkiria huamini anajua sana

fid,juhud za wasiojiweza
 
wenye nia hawana nguvu,na wenye nguvu hawana nia/
wanaridhika na moja,wanaogopa kutafuta mia.

fid,juhudi za wasiojiweza.
hapa anaonesha jinsi gani wenye nia ya kuleta mabadiliko hawana nguvu au mamlaka,ila cha ajabu wale wenye hayo mamlaka au nguvu hawana nia.
pia wanaridhika na moja,ilihali wana uwezo kupata mia.
 
dini zinageuzwa kua biashara kubwa kubwa huwezi amini/
wanajaribu kutuangusha wanakuta tushalala chini.
kuna maskini na omba omba wanaogeuza kidonda mtaji/
kuna ukimwi na siamini wagonjwa ndomu waliitumiaje.

ugomvi unaweza kukupa jina,lakini haukupi heshima/
sana watakuona mkorofi na mashavu watakunyima/
watakuzima ili usiskike,utanuna kama mtoto wa kike/
utavimba utapasuka,utatafuta raia uwapige/

fid,nyota ya mchezo
 
Back
Top Bottom