Fid Q: Best Quotes from his music, his interviews & from himself

Fid Q: Best Quotes from his music, his interviews & from himself

Kuna mstari anasema "Mpende mkeo na siri zako mwambie Mama yako" Hapa funzo ni kwamba Mama pekee ndio anaweza kukufichia siri zako na akazichukulia kama ni zake.
 
Usiinite half man niite man and a half you think small you remain small in life
Hatuwezi piga instrumental ila we can in same key
 
"Ni rahisi kuwa baba mzazi,
ila kuwa baba ni kazi,
inahitaji mwongozo safi, utashi na kukidhi mahitaji"-fid q, song:Fei
 
"Kwako nimefika sijajipachika kama stika nimekita kama tatuu"

Usinikubali harakaharaka
Wimbo wa mapenzi lakini kuna nondo za maana
 
Mshamba utaachwa unashangaa kumuona Martin Kadinda, usmat kautinga, au majumba mandinga ya bwana almas, je hiz track za harakati ni ujinga?
 
Sihitaji marafik labda baadae wakitokea aje mmoja wakuongea nae na mwengine wakumongelea
 
asilimia 85 ya quotes anazoweka kwenye mashairi yake anaiba toka kwa wana malenga wetu.

ni uvivu wa wabongo kwenye kusoma ndo maana wanamuona jamaa mkali na anatoa quotes mpya.

Acha hzo wew mtoto wa kiume unakuwa mbea! kaibe na wew tuzione zako bado mpya!
 
hiki ni kijiko unachokiona,baada ya kula kwa mkono/
ndomu usioiona mpaka ukishafanya ngono/
neno la kuponya lililokosa mdomo/
na hili bonge la ngoma kwenu,kwangu ni kama somo

chorus fid,wazo la leo with stamina

Yaaani hii ni hasara taslim, maana umeshakula peku ndio unaona kijiko?
 
hata mbalamwezi haing'ai bila kuchomoza/
mkono ukiumia mdomo faster huja kuupooza/
mdomo ukiumia mkono huja kuupangusa tuu/
kama hujashuka bado upo juu,kumbuka sio unasusa tu/
vigumu kua fid q,mi sio ndumu unayoweza vuta tu/

fid,nyota ya mchezo

Daaah huyu jamaa anakitumia vizuri sana kichwa chake, eti sio ndumuu
 
usiniite half man niite man and ahalf, if you think small and you remain small for life, hatuwez piga same instrument bot we can all be in the same key! son experience make some person better or bitter....... KING fid q

Naweza nikaflow slow lakin brain ina speed up
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom