Urquhart
Senior Member
- Sep 8, 2014
- 129
- 146
Mimi sipo Tanzania, lakini ningependa nielewe, SAMAHANI NITATUMIA KINGEREZA. So bare with me. I'm curious, HIVI TATIZO NI NINI? Why don't companies invest in faster internet connections in TZ? What's the problem? Usiseme poor infrastracuture, bcz with fiber, all you need is to lay the ground cables and a hub connector. Haya makampuni kama Vodacom, yaliyo chota billions of tsh, miaka yote hii kwnini wanashindwa kutekeleza hilo? Mimi nafikiri wanafanya makusudi, ili waweke watanzania nyuma na kwenye giza from matters of the world. Wanajua how powerful the internet is, so wanaona tukufungua milango then these people will wise up. I think this will only change the day WATANZANIA washikane mikono and take it to the streets to demand better & affordable communication infrastructures, either from the govt, or the cell companies that have stolen billions upon billions of dollars from the people of Tanzania. But until then, NOTHING will change. Wizara ya communications na Teknologia inasemaje? Au ndo wako bize ku enforce hio sheria mpya yakipumbavu ya Cyber? Ambayo none of them actually understand it.