Fiber ya simbanet inaonyesha jinsi Tanzania tunavyohitaji internet mbadala

Mimi sipo Tanzania, lakini ningependa nielewe, SAMAHANI NITATUMIA KINGEREZA. So bare with me. I'm curious, HIVI TATIZO NI NINI? Why don't companies invest in faster internet connections in TZ? What's the problem? Usiseme poor infrastracuture, bcz with fiber, all you need is to lay the ground cables and a hub connector. Haya makampuni kama Vodacom, yaliyo chota billions of tsh, miaka yote hii kwnini wanashindwa kutekeleza hilo? Mimi nafikiri wanafanya makusudi, ili waweke watanzania nyuma na kwenye giza from matters of the world. Wanajua how powerful the internet is, so wanaona tukufungua milango then these people will wise up. I think this will only change the day WATANZANIA washikane mikono and take it to the streets to demand better & affordable communication infrastructures, either from the govt, or the cell companies that have stolen billions upon billions of dollars from the people of Tanzania. But until then, NOTHING will change. Wizara ya communications na Teknologia inasemaje? Au ndo wako bize ku enforce hio sheria mpya yakipumbavu ya Cyber? Ambayo none of them actually understand it.
Hilo ni shida na hata viongozi walio na elimu wamekuwa overtaken na politics than things which may help to publish and join us together easily
 
Mtandao gani huo chief napata approx 60mbps??
Mimi binafsi napata hadi 50mbps vodacom, ila tigo na voda kwa wakati tofauti watu wameleta ushahidi humu wa screenshots.
Voda 4g
img_1177-jpg.821920


Hii screenshot ya SPYMATE Tigo 4g
uploadfromtaptalk1471325033096-png.382379


Ila mkuu ili upate hio speed tigo utahitaji.
1. Utumie band 1800 badala ya 800 maana hio 800 ndio imesambaa na haina speed sana kiasili.
2. Uwe na kifaa cha kisasa cha 4g, preferably simu ama router yenye gigabit lte.

Kuna nyengine ya 60mbps naitafuta sijaiona.
 
Back
Top Bottom