Fiber ya simbanet inaonyesha jinsi Tanzania tunavyohitaji internet mbadala

Mimi sipo Tanzania, lakini ningependa nielewe, SAMAHANI NITATUMIA KINGEREZA. So bare with me. I'm curious, HIVI TATIZO NI NINI? Why don't companies invest in faster internet connections in TZ? What's the problem? Usiseme poor infrastracuture, bcz with fiber, all you need is to lay the ground cables and a hub connector. Haya makampuni kama Vodacom, yaliyo chota billions of tsh, miaka yote hii kwnini wanashindwa kutekeleza hilo? Mimi nafikiri wanafanya makusudi, ili waweke watanzania nyuma na kwenye giza from matters of the world. Wanajua how powerful the internet is, so wanaona tukufungua milango then these people will wise up. I think this will only change the day WATANZANIA washikane mikono and take it to the streets to demand better & affordable communication infrastructures, either from the govt, or the cell companies that have stolen billions upon billions of dollars from the people of Tanzania. But until then, NOTHING will change. Wizara ya communications na Teknologia inasemaje? Au ndo wako bize ku enforce hio sheria mpya yakipumbavu ya Cyber? Ambayo none of them actually understand it.
 
Speed Tigo 4G - One.jpg

Tigo kwenye 4G iko safi. Pamoja na kuwa na latency kubwa kidogo kama picha zinavyoonyesha na pia fluctuation ya speeds; internet performance iko vizuri, ukishaconnect stream,haikati mpaka mwisho ukiwa unaangalia mpira kwa mfano. Kwenye ku download unapata mpaka 3MB/s wakati mwingine, 4G ya tigo iko vizuri sana.

Speed Tigo 4G - Two.jpg
 
Jidu ni fiber moja kwa moja, even kwenye ofisi imekuja na waya.
 
Last edited by a moderator:
Mtu akitaka kuunganishiwa huo mkonga analipia kiasi gani?
Charges kwa kila mwezi zina range ngapi?

Mkuu ni package ya kiofisi zaidi, mfano hii nilioitumia jamaa wanalipa dola 2000 (around milioni 4) kwenye matawi yao yote ambayo yanazidi 10.

Hivyo kama una biashara kubwa yenye wafanyakazi wengi inakuwa bei rahisi ila kama ni mtu mmoja tu ni ghali sana
 
Hayo malipo ni Kwa mwezi?
 
Smart 20,000 unlimited bandwitch nje ya dar

Chief ongea vizuri kuhusu hao simbanet ,niko zenji nifahamishe how much monthly payment nadhani at the moment nalipia 70$ Napata very unstable connection now and then ,niko radhi kuongeza mtonyo kama nitapata huduma uhakika kwa ofisi yangu!
 
mimi mwenyewe natumia fiber ya simbanet. recently our company upgraded from 5Mb/s to 25Mb/s. we have more than 800 users with 11 diff location at dsm. if you see the uploaded pic the latency is amazing. i ran speedtest in peek hours.
we are planning to upgrade it on 2016 to 30mb/s

simbanet.jpg
 
View attachment 285507

Tigo kwenye 4G iko safi. Pamoja na kuwa na latency kubwa kidogo kama picha zinavyoonyesha na pia fluctuation ya speeds; internet performance iko vizuri, ukishaconnect stream,haikati mpaka mwisho ukiwa unaangalia mpira kwa mfano. Kwenye ku download unapata mpaka 3MB/s wakati mwingine, 4G ya tigo iko vizuri sana.

View attachment 285512
All in all hamjasema ni mtndao gani kw hapa bongo mzuri kwwny download, upload na ping
 
Mimi sipo Tanzania, lakini ningependa nielewe, SAMAHANI NITATUMIA KINGEREZA. So bare with me. I'm curious, HIVI TATIZO NI NINI? Why don't companies invest in faster internet connections in TZ? What's the problem? Usiseme poor infrastracuture, bcz with fiber, all you need is to lay the ground cables and a hub connector. Haya makampuni kama Vodacom, yaliyo chota billions of tsh, miaka yote hii kwnini wanashindwa kutekeleza hilo? Mimi nafikiri wanafanya makusudi, ili waweke watanzania nyuma na kwenye giza from matters of the world. Wanajua how powerful the internet is, so wanaona tukufungua milango then these people will wise up. I think this will only change the day WATANZANIA washikane mikono and take it to the streets to demand better & affordable communication infrastructures, either from the govt, or the cell companies that have stolen billions upon billions of dollars from the people of Tanzania. But until then, NOTHING will change. Wizara ya communications na Teknologia inasemaje? Au ndo wako bize ku enforce hio sheria mpya yakipumbavu ya Cyber? Ambayo none of them actually understand it.
Ndio umetumia kiingereza au urojo wa lugha Mr Bare with me
 
nafikiri mtoa mada amejisahau ni kuwa fiber(mkongo) ni "media" ambayo mawasiliano hupita kufika sehemu husika.alichotakiwa kusema ni internet ya Simbanet ina kasi nzuri!
"Internet ya simbanet"? We're a way far from technical terms and terminologies
 
Mimi sipo Tanzania, lakini ningependa nielewe, SAMAHANI NITATUMIA KINGEREZA. So bare with me. I'm curious, HIVI TATIZO NI NINI? Why don't companies invest in faster internet connections in TZ? What's the problem? Usiseme poor infrastracuture, bcz with fiber, all you need is to lay the ground cables and a hub connector. Haya makampuni kama Vodacom, yaliyo chota billions of tsh, miaka yote hii kwnini wanashindwa kutekeleza hilo? Mimi nafikiri wanafanya makusudi, ili waweke watanzania nyuma na kwenye giza from matters of the world. Wanajua how powerful the internet is, so wanaona tukufungua milango then these people will wise up. I think this will only change the day WATANZANIA washikane mikono and take it to the streets to demand better & affordable communication infrastructures, either from the govt, or the cell companies that have stolen billions upon billions of dollars from the people of Tanzania. But until then, NOTHING will change. Wizara ya communications na Teknologia inasemaje? Au ndo wako bize ku enforce hio sheria mpya yakipumbavu ya Cyber? Ambayo none of them actually understand it.

We are one of the worst countries in terms of internet speed, majirani zetu Rwanda speed yao ni three times ya kwetu . Uganda almost two times. Kenya ndo usiseme speed yao ni almost mara tisa zaidi ya kwetu na ni reliable with Wi-Fi accessibility almost everywhere in their capital city .
 
Una ushahidi mkuu? Maana hapa voda 4g ama tigo zinapiga hadi 60mbps ambayo kwa 4g ni above average speed ya dunia.
 
Back
Top Bottom