Few days left until Old skool party of the ceutnry!

Believe it or not hizi party mimi sinanitamanisha hata nihamie US..wabongo wa UK ugumu umetuzidi..yaani wao ku-party wanaona dhambi sana.

Ahh wacha tunaonee wivu wa USA.
 
Leo siku ya tano kila nikifungua page http://mwananchi.co.tz napata msg ya virus, wale mnaotumia ant-virus mtakuwa mmegundua hilo, Virus/spyware huyo ni Troj/Iframe-AG Wataamu hebu tupeni habari kuhusu hili maana wengine tusije ua computer zetu
 
Jibaba naona umenifananisha nope sikuwepo MN!..I haven't been to MN for a while...mmh nahisi basi unanifananisha wee hiyo ya Ohio nayo naona umeotea huna uhakika kama uliniona au lah...

The kama wewe bado mdogo ninachokushauri ni ukae tuu nyumbani maana hizi shughuli za this weekend na watoto wadogo haziendani kabisa....ushauri wangu Jibaba just stay home watch movies au paly video games....wait for next time ukifika age ya kura raha hahahaha....

KWI KWI KWI..mmh wangu kelly yaani yamekua hayo mtumee hee
mimi mtoto lakini ntakuja tuu kwenye party na ntakupa HI kwenye gathering ya MK ama unasemaje? Ila ohio sijakufananisha maana hata mie nili fly in pale kwa ajili ya mshikaji alikua ana engage.
 
Jibabab Mimi sasa unanichanganya...inakuwaje wewe uwe mtoto alafu yule aliyekuwa ana engage awe mshikaji wako wakati the guy siyo mtoto yule ni old skool?......haya wee njjoo unipe hi5 ila nimeshakushtukia weye nani kama wewe siyo yule kaka aliyekuwa ananionyesha namba za simu kwenye simu yake za mawaziri kutoka bongo cjui...ulikuwa unanithibitishia kuwa watu wanakupakazia....am i right or wrong?

Ila jibaba yote maisha au siyo!....lets have fun...I will see yuou kesho jioni.
Holla!
 
mmmh KELLY..Mawaziri tena? Si ndo mafisadi hao? Ene wey...ishu ni kwamba NIMEONGEA LIVE NA DJ BONNY LUV YUKO NDANI YA NCHI NA BY 9 AM EST IJUMAA ATAKUWEPO NDANI YA COLUMBUS...
PARTY MKOOOO??
NAOMBA NIWAUNGANISHE NA KIBAO KIFUATACHO...yaani "vikuku vinanukiaa eeeeh mamaa yeke yeke..mmpo?

[media]http://www.youtube.com/watch?v=cIUD1Z3pU1g[/media]

WELCOME TO COLUMBUS YAALL...
 
Believe it or not hizi party mimi sinanitamanisha hata nihamie US..wabongo wa UK ugumu umetuzidi..yaani wao ku-party wanaona dhambi sana.

Ahh wacha tunaonee wivu wa USA.

Yebo kwani hata hapa Bongo si inawezekana ku organize ka party kama haka ka wenzetu wa huko kwa Kichaka? Watoto wa Vyuo wana organize ma Bash sembuse sisi!!!
 
mmmmmhh,this looks interesting,GEEQUE tunaomba utupe time in GMT,ambapo utakuwa LIVE on the battlefield
 
Wote watakaofanikiwa kufika kwenye old school nawatakia bash njema!
 
Wakuu uwezekano wangu wa kuwepo huko unazidi kupungua, lakini bado tunajitahidi kuwepo huko, ingawa dalili za matumaini zinaanza kupungua.
 
mmmh KELLY..Mawaziri tena? Si ndo mafisadi hao? Ene wey...ishu ni kwamba NIMEONGEA LIVE NA DJ BONNY LUV YUKO NDANI YA NCHI NA BY 9 AM EST IJUMAA ATAKUWEPO NDANI YA COLUMBUS...
PARTY MKOOOO??
NAOMBA NIWAUNGANISHE NA KIBAO KIFUATACHO...yaani "vikuku vinanukiaa eeeeh mamaa yeke yeke..mmpo?

[media]http://www.youtube.com/watch?v=cIUD1Z3pU1g[/media]

WELCOME TO COLUMBUS YAALL...

Wee Jibabaz Nimeshakunyaka!....hahahaha! unacheza mimi ni intelejensia wa kike tokea Nyenzi.com....i will see you in few hours dude.
 
Kwanza nimesikia waandaaji wameboa...wamekodisha gereji mchwara, choo kimoja kichafu, joto, mziki wa kigugumizi, hakukuwa na soka kama walivyoahidi na ulabu kidogo. Lakini kama kawaida wabantu wanavyopenda kumingle; walishow up kutoka kona mbalimbali tu. Kama hao wajamaa waliunder-estimate ujio wa watu, then kazi hawaiwezi, wasiseme wanataka get together tena next time. Pengine watapeleka watu kwenye zizi la ng'ombe.
Nasikia mkuu Mwanakijiji naye alichukua Elites wenzie na kwenda kuongelea JF chemba....ndivyo hivyo mkuu?? kama mkuu ulifanya hivyo....Noma.
 
Kipindi chote ulichokuwa ukinitwangia zilikuwa zinaingia aidha 'Private Number' au 'Unknown'. Pengine nikaona ulikuwa na shaka nami labda 'Nimetumwa' kwikwikwi!!!
 
Back
Top Bottom