Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 10,664
- 22,834
Kwanza ifahamike kwamba neno feminism lina tokana na neno feminine ambalo ukiperuzi maana yake utakuta ni “having characteristics that are traditionally thought to be typical of or suitable for a woman” na pia utaweza kukutana na maana ikisema “describes qualities, appearances, or behaviours typically associated with women or girls”. Katika hizi maana mbili utaona kwamba neno feminine (adjective) ambalo linatokana na jina (noun) Female limelenga kumtambulisha mwanamke kwa sifa zake za kike kinyume na shughuli za mafeminists wengi wa hovyo kama Jadda et al ambao humtambulisha mwanamke kwa sifa za kiume.
Ukiingia mtandaoni ukatazama maana ya neno “feminist’ na “Feminism” utakutana na maneno kama haya: “a feminist is someone who supports equal rights for women” au “a feminist is a socio-political movement advocating for the equality of the sexes, believing modern societies are patriarchal and unjustly treat women.
Kwa mtu mwenye utimamu wa akili akitazama tu hizi maana yaani maana ya neno jina na neno kitendo haviendani hata kidogo. Yaani kwa asili neno female lina maana ya “wa kike” au “ya kike” lakini iweje tena movement yake yaani feminism iseme ni harakati za kumfanya mwanamke alingane na mwanaume na kuacha asili yake kudai haki za kiume, sawa na mwanaume bila kutumikia au kuwa na wajibu sawa na mwanaume? Make this make sense ndugu zanguni. Ni kichaa tu ambaye ataona hili jambo limekaa sawa sawa na hallina dosari yoyote ya kimantiki.
Hivi kama wanajamii tumeshawahi kujiuliza maswali magumu kama ni haki zipi ni za mwanamke? Au tuhoji hivi, mwanaume ana haki zipi za kimsingi na mwanamke ana haki zipi za kimsingi?
Je, kama mwanaume anapendelewa kihaki je, anapendelewa katika maudhui yapi ambayo mwanamke anaminywa?
Hivi tumeshawasikiliza kwa umakini wanawake wanacholalamika na matakwa yao (sio mahitaji) then kuwatazama wanachokifanya katika uhalisia wakishapewa fursa wanazotaka?
Mimi siungani na hii movement na nina ipinga kama movent haramu kwenye jamii na yeyote anayeisapoti pia anakuwa ni haramu katika hii jamii kushinda hata dawa za kulevya maana dawa za kulevya hazijaleta madhara mabaya kushinda feminism ndani ya muda mfupi.
Unawezaje kuwa na harakati batili inayojinasibu kuwa ipo kulenga kumtetea na kumkomboa mwanamke ila kiuhalisia ime target kushape akili za wanawake kuwa negative katika jamii yao na kuwageuza kuwa kansa ya kuiharibu jamii hiyo hiyo huku kikiacha u’hovyo wa kila aina.
Hebu mtu aniambie faida za feminism na matokeo yake tokea imekuwa introduced miaka ya 1990s?
Ni muda sasa kutambua feminism kama harakati haramu kwa jamii na tuanze kuikemea kwa nguvu zote.
Nimeona pale chou kikuu UDSM wame introduce masomo ya femism ili kuwajaza ujinga mabinti na vijana wetu ambao wanakwenda kupewa elimu ya kuikomboa jamii yao na sio kuigawa katika makundi ya jinsia.
Kama tutaendelea kukaa kimya then tutarajie maasi zaidi kama yanayotokea huko mataifa ya magharibi kama USA, CANADA na United Kingdom ambayo kwasasa yanapitia mvurugiko mkubwa sana wakijamii kwasababu ya uzembe wa kuendekeza ideology za kipumbavu kama feminism katika jamii zao na matokeo yake zimeparanganyua kabisa ustawi na jamii sasa haieleweki ina uelekeo upi.