Female TV Talk Show Co-Presenter/Host Required

Kwa TBC 1 kwa kweli kipindi hakitapata watazamaji. Ratiba zao huwa haziko fixed kabisa pia hata mfumo wa picha na sauti sio mzuri. Haimpi mtu hamasa ya kuangalia tv kwa muda mrefu...

Thanks Nicas Mtei

Advise noted.

Kwa sasa tumeweza kupata Prime time, let us give it a trial for few weeks.
 
Last edited by a moderator:
1..wanawake live..eatv
2..mboni show..eatv
3..ongea na Janet..clouds tv
4.....show ..star TV...

Hapa sjaweka zile za
Lady jady diary
Wema sepetu

Natumai hiki kitakua tofauti ...
 
1..wanawake live..eatv
2..mboni show..eatv
3..ongea na Janet..clouds tv
4.....show ..star TV...

Hapa sjaweka zile za
Lady jady diary
Wema sepetu

Natumai hiki kitakua tofauti ...

Kamanda Kipaji Halisi, ukipata nafasi pitia link hii ili kuona tofauti: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...kulevya-na-ufumbuzi-wake-24th-nov-2013-a.html


 
Last edited by a moderator:
Si umwambie Hashim Lundenga akupatie au uende Bongo movie kama kigezo si taaluma ya habari na mawasiliano.
 
nimekutumia email zaidi ya 3 kwenye email address yako sijajibiwa sijui kwanini?
halafu mm mwimbaji ningeliomba kwenye kipindi mtakachorusha nitoe dongle yangu kama kuihamasisha show yako kama wanavyofanya kwenye show ya WANAWAKE LIVE wakati kipindi kinavyoanza kurushwa hewani sijui mtapenda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…