Female TV Talk Show Co-Presenter/Host Required

Basi sawa Nyani Ngabu, "Wamekuelewa".

Upo majomba?

Oyaa nipo supa frend wangu mbongoz mkareeez you know wassup man!!

Ila kwenye heading umechemsha kidogo umombo. Umeandika "Female TV Talk Show Co-Presenter/Host Required"

Kwa umombo sanifu ni "Female TV Talk Show Co-Presenter/Host Needed"

Wasalimie masupa wabebs wote wakareeez wa bongo Darislama waambie majuu watasubiri sana mwaka huu.

[h=3]LE MUTUEE LIVE AT DOWNTOWN BONGO HANGING OUT NA MBEBS WA UKWHEEEH MKAREEZ WA WOTE KIJITONYAMA SUPER JACKY MZINDAKAYAZZ!! LOVE HER KWA SANA MINGI SHE IS MY BABY-SISTER!![/h]
 

Haaaaa haaaaa noted with thanks.

naona Big Bro yuko na Totz Mkareeeez, amenyokaaaz, na Super friend wake. Majuu subirini . . . lol
 
ngoja niwaite ndugu zangu hapa Lady doctor, Passion Lady, charminglady, WiseLady, sweetlady, FirstLady, Smile, cacico na wengineo kujeni huku kuna kazi ya ziada baaday yaa kazi zenu
part time job hiyooooooooo
Asante kwa kuniita ndugu yangu mie sifa zote hizo ninazo hadi za ziada ila hapo kwenye kingereza hapo.........mmh,kwani hiyo show itahoji wachina au wazungu?lakini nitakuona chemba kiongozi wangu ili nami niandike maombi.
Bytheway hapo kwenye kutazamika vigezo gani vinatumika?
Msimbe nijibu tafadhali
 

Hivi kweli na mie natazamika?Sijui nimuulize nani ili nipate uhakika maana sijawahi kumuona mtu akifunga macho kwa kushindwa kunitazama.natumai nimepita kigezo hicho
 
kwenye kutazamika wanaangalia mvuto wa sura yako kama unaweza kutazamika kwa watazamaji wa tv talk show hiyo, sasa kuhusu lugha hapo hata nami sijapaelewa vizuri alitakaje huyu best?

Lady doctor amekwambia kuna kasherehe ka get together kakumfanyia daddy watu8 december hii au bado hajakwambia?
 

Mmmh! umeshatuma CV?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…