Mie bwana vigezo vyote ninavyo and I can do it without a sweat, comes naturally. Tatizo bwana sentensi moja haiwezi kukamilika bila the F work so nishafeli.
Mie bwana vigezo vyote ninavyo and I can do it without a sweat, comes naturally. Tatizo bwana sentensi moja haiwezi kukamilika bila the F work so nishafeli.
hahahahahahahha msiri nitake radhi, au unataka yule mkenya akaijenge westgate in three days kama hekalu la bwana lilivyojengwa! hapana sweetheart, candy wangu angekuwa university level, hakika ningemtosa, maana lugha inapanda mbaya, gfsonwin dec nitakutafuta nasafiri mara moja, nikirudi tu nina wewe!