Uchaguzi 2020 Felister Njau: Tulikamata mabegi matano ya kura za CCM ktk Uchaguzi Mkuu 2020

Bunge la kikao cha CCM. Hiyo picha imetengenezwa kurudisha watu kwenye ufuatiliaji hakuna kitu pale. Acha wafu wazikane
 
Sina muda wala sitegemei kuangalia genge la wahuni na jiwe lao
 
Huo ni mpango maalum uliopangwa kishamba ili kuwapumbaza watanzania na kuwaaminisha kuwa bunge hili ni sawa na lililopita lenye wapinzani.

Hiyo ni kete ya Ndugayi kuwahadaa watanzania kuwa bunge lipo active kumbe ni sawa na kikao cha wana ccm tu
Ili pia kusaidia channel 10 yao inayoonyesha live hilo bunge ipate viewers.
 
Mbunge wa viti maalumu, Felister Njau amepewa siku saba kuthibitisha kauli yake aliyoitoa bungeni kuhusu kukamatwa kwa mabegi matano ya kura wakati wa uchaguzi mkuu 2020.

Felister ametakiwa kupeleka uthibitisho huo na naibu Spika, Dkt. Tulia Ackson leo Jumatano Februari 3, 2021 kutokana na kauli yake hiyo aliyoitoa bungeni wakati akichangia hotuba ya Rais John Magufuli ya ufunguzi wa Bunge la 12.

My Take
CCM wamepita kwa wizi wa kura, Covid19 wamepita kwa wizi wa vifungu vya katiba. Ngoma droo
Huyu naibu naye kaingia kwa kura za mabegi
 
Kwa mara ya kwanza tangu nizaliwe staki kusikilliza bunge wala kujua chochote kuwahusu.
 
Yanakubaliana kutengeneza matukio halaf baadaye Yanajifanya kuyatatua.
Maccm yanajalibu kujitengenezea Kiki ili wananchi wapate shauku ya kufatilia Bunge lakini aaawapi!

Nasikia timu ya Simba imealikwa ili kuongeza ushawishi Bungeni.
 
Hawa Covid-19 walishindwa kuvumilia miaka 5 bila ya ajira wakaona wajitose kwa vyovyote vile
Kuvumilia njaa ni kazi kubwa sana, hata wanaume wanashindwa.
Sitaki ugomvi na jirani yangu kijijini, lakini Mbowe anaweza kukushauri kwa suala la kuvumilia njaa.
 
Mbunge wa viti maalumu, Felister Njau amepewa siku saba kuthibitisha kauli yake aliyoitoa bungeni kuhusu kukamatwa kwa mabegi matano ya kura wakati wa uchaguzi mkuu 2020.

Felister ametakiwa kupeleka uthibitisho huo na naibu Spika, Dkt. Tulia Ackson leo Jumatano Februari 3, 2021 kutokana na kauli yake hiyo aliyoitoa bungeni wakati akichangia hotuba ya Rais John Magufuli ya ufunguzi wa Bunge la 12.

My Take
CCM wamepita kwa wizi wa kura, Covid19 wamepita kwa wizi wa vifungu vya katiba. Ngoma droo
huyo ni viti maalum CCM au wabubge wa COVID 19? kama ni covid19 nyie pro chadema mmeshawapitisha?
 
Mbunge wa viti maalumu, Felister Njau amepewa siku saba kuthibitisha kauli yake aliyoitoa bungeni kuhusu kukamatwa kwa mabegi matano ya kura wakati wa uchaguzi mkuu 2020.

Felister ametakiwa kupeleka uthibitisho huo na naibu Spika, Dkt. Tulia Ackson leo Jumatano Februari 3, 2021 kutokana na kauli yake hiyo aliyoitoa bungeni wakati akichangia hotuba ya Rais John Magufuli ya ufunguzi wa Bunge la 12.

My Take
CCM wamepita kwa wizi wa kura, Covid19 wamepita kwa wizi wa vifungu vya katiba. Ngoma droo
Acha wafu wazike wafu wenzao,hao covid 21 ni ccm B
 
Maigizo tu hayo!!
Mkuu uko sahihi. Kuna mtu nje ya Jengo anatafutwa. Huyu Mbunge atakuja kusema yeye aliambiwa aseme hivyo na huyo anaetafutwa. Kisha wezi halisi wa kura (ccm) watautua huo mzigo na kumbebesha huyo anayetafutwa. Kisha Mbunge yule ataambiwa akanushe kisha awatake radhi Bunge kwa niaba ya Wapiga kura.

Nalo litabuma kama yalivyobuma mengine.
 
Unaweza kudhani ni kusanyiko la walevi fulani!

Halafu atafungiwa kuhudhuria vikao vitatu kwa kusema uongo......bure kabisa hawa Bawacha wawili mtoa hoja na aliyepo kitini jirani na siwa!
Wewe si ndiye uliyewabatiza?? Utakosa sadaka/matoleo/fungu la kumi.
 
Back
Top Bottom