Feitoto akibusu picha ya Rais Samia

Feitoto akibusu picha ya Rais Samia

benzemah

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2014
Posts
1,532
Reaction score
3,189
Mchezaji wa klabu ya Azam Fc, Feisal Salum "FeiToto" ameonekana akiibusu picha rasmi ya Rais Samia Suluhu Hassan tendo ambalo wengi wamelitafsiri kama shukrani kwa Rais Samia.

Ipi tafsiri yako kwa tendo hili.

 
Tuombe Mungu wale wa kuanza kuwaza mambo ya mashangazi wasije pita hapa! hawachelewagi kuharibu hali ya hewa
 
mm mbona ni kama naww emewaza huko mkuu au
Apana! Sijafikiria Katika angle hyo ila nimewaza labda fei kaamua kubusu picha ya aunt sa100 kama ishara ya kutambua mchango wake kwenye usuluhishi wa mgogoro wa kimkataba
 
Injinia Feisal inabidi aje kumrithi Rais Mwinyi akimaliza kipindi chake. Kaonyesha ushupavu tunaouhitaji kwa Jemedari Mkuu.
 
Back
Top Bottom