Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 58,047
- 134,349
Nawashauri Wazee wa Yanga waandamane kumuona Rais Samia,hii sio sawa
Watu wamepewa kimilioni miamoja na kumi na mbili chao wamesusa ,eti wamerudisha hahahahaCaption inajielezaView attachment 2464407
Mzee mzima kiherehere debe
Feisal sio Yanga wala Yanga sio Feisal, kwanini mnapata tabu nyie na sio sisi?Yanga Sasa
Wanarudi Wanalia Aaa Huruma Watia Hurumaa
Wamesusia bidhaa!! HahahahaaaaWazee wa Yanga itabidi waende Zanzibar kwenye mapinduzi cup kwa kutumia mtumbwi
🤣🤣🤣😂😂🤣🤣🤣😂😂😂Feisal sio Yanga wala Yanga sio Feisal, kwanini mnapata tabu nyie na sio sisi?
Wapo hapa watazama Azam HD1. Wajinga hawa jamaaWamesusia bidhaa!! Hahahahaaaa
Kwani mlikuwa mnashindana na nani. Mi najua ni Yanga na Feisal, na Fei ndio kashindaSafi sana,bora tukose wote.