mkubwa 21
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 442
- 119
Euro 18.5 = TSH 41162/=
Nice..
Euro 18.5 = TSH 41162/=
Mkuu, mbona amazon kila nikitaka kununua naambiwa the seller does not ship to your primary address. Nitumie S L. P _au physical address?
Hiyo ni gharama ya mzigo au ni gharama ya usafirishaji?
Euro 18.5 = TSH 41162/=
- Cost ya kununulia saa tajwa hapo juu
Tumia huu mfanoMkuu nipe maunjanja ya kuandika address. S. L. P ninalo. Nitumie S. L. P au physical address?
KARBU
- Ni direct kwa kutumia kadi yako ya Benk e.g VISA au MASTERCARD
- System yao iko salama
Mkuu kwa mfano mi nina kadi ya crdb visa sasa sijaelewa visa ya aina gani mkuu...naomba unielimishe mkuu
- Ndio hiyo uliyonayo
- Je kadi yako imeshafunguliwa ili kufanya online transaction
- Kama bado nenda tawi la CRDB lililokaribu nawe omba fomu husika na kuzijaza ili kadi yako iweze kutumika kufanya malipo online
Asante mkuu,hivi sehemu ya kujaza zip code,post code au naomba unipe ujuzi namna ya kujaza information mkuu
hvy naskia crdb wanakata elf 30 kujiunga na internet banking. je ni kweli
hvy mizigo inaweza kufika mikoani salama
hvy hakuna wizi
Amazon wanakukata moja kwa moja from your card. wakati unanunua kitu kuna hata ya kuingiza namba zako za card ya benki hapo ndipo unapokatwa.
Tofauti na ebay ambao wana paypal.
Mimi huwa natumia sana ebay.Vipi kuhusu usalama wa Fedha iwapo mzigo haujafika au Mzigo ulio wasilishwa una Mapungufu