Feedback: Ebay online purchase item received

Feedback: Ebay online purchase item received

Ayusema

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2011
Posts
549
Reaction score
189
Hi.. nawalete feedback..
Baada ya kuplace order on 29/10/2014 the item was shipped on 30/10/2014... then ikawa fowarded to international logistic company on 4/11/2014 then leo nimetrack nikaambiwa parcel ipo Tz tena Zenji nimeenda posta nimekuta karatasi then nimechukua mzigo wangu...
Ni saa hii hapa...
 

Attachments

  • 1415804274820.jpg
    1415804274820.jpg
    76.4 KB · Views: 356
Yeah thanx Mwl.RCT though mara ya kwanza tablet ilipotea juu kwa juu!!!!
 
Last edited by a moderator:
samahani mkuu,ulivyoorder amazon nani alichagua courier?na imekugharimu kisai gani kwenye usafirishaji wa hiyo tab kama uliiagiza peke yake?
 
Penda kutumia amazon, iko salama zaidi kuliko ebay na lazima umzigo wako ukufikie
Capture.png

​
samahani mkuu,ulivyoorder amazon nani alichagua courier?na imekugharimu kisai gani kwenye usafirishaji wa hiyo tab kama uliiagiza peke yake?
 
Mimi naona tablet yangu imepotea. Niliagiza toka marekani 11/10/2011 ni nikaandika jina langu sehemu ninayokaa, mkoa, nchi na namba ya simu.

Hadi Leo kimyaaaa. Walisema wameship kwa USPS

Mzigo Wa kwanza nilitumia S . L. P nikaupata
 
Penda kutumia amazon, iko salama zaidi kuliko ebay na lazima umzigo wako ukufikie

​

Mkuu, mbona amazon kila nikitaka kununua naambiwa the seller does not ship to your primary address. Nitumie S L. P _au physical address?
 
Mimi naona tablet yangu imepotea. Niliagiza toka marekani 11/10/2011 ni nikaandika jina langu sehemu ninayokaa, mkoa, nchi na namba ya simu. hadi Leo kimyaaaa. Walisema wameship kwa USPS
Mzigo Wa kwanza nilitumia S . L. P nikaupata

Mwanangu hapo imekula kwako!! Usipoweka postal address ni nadra sana kufika.... mie pia sikuweka postal address thats why haikufika Polisi
 
Last edited by a moderator:
Mwl.RCT payment kwa amazon inakuaje???
 
Last edited by a moderator:
Mwl.RCT payment kwa amazon inakuaje???
Amazon wanakukata moja kwa moja from your card. wakati unanunua kitu kuna hata ya kuingiza namba zako za card ya benki hapo ndipo unapokatwa.
Tofauti na ebay ambao wana paypal.
 
Hi.. nawalete feedback..
Baada ya kuplace order on 29/10/2014 the item was shipped on 30/10/2014... then ikawa fowarded to international logistic company on 4/11/2014 then leo nimetrack nikaambiwa parcel ipo Tz tena Zenji nimeenda posta nimekuta karatasi then nimechukua mzigo wangu...
Ni saa hii hapa...

Sh. ngap? za ktz
 
Back
Top Bottom