Fedha...


Hapo kwenye NJURUKU piga ua wewe ni chinga
 
mh, mkono wa kidhungu manoti ya kialbaino,,,,
 
"CASH" katika lugha yoyote na sehemu yoyote unaeleweka tuu.
 
Uzuri wa pesa, Pamoja na majina yake yoooote hayo hata sisi tusiojua kusoma na kuandika Hesabu za ela tunazijua. Usione mtu hajui kusoma ukampa chenji pungufu weee....
 
Pesa ni maua huchanua na hunyauka,
Ukiwa nazo utaitwa bos,mkuu, n.k,
Ukiishiwa utaambiwa umefulia,chokambaya,murere.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…