Ikiwa mikononi mwa TRA inaitwa KODIKitaani inaitwa mpunga, mkwanja, kisu, mawe,........
Kitaani inaitwa mpunga, mkwanja, kisu, mawe,........
Tukiwa na Majita Home tunaita FUBA.
Mkuu Boflo Ukilipwa baada ya kubeba mabox inaitwa malipo.Ukilipwa baada ya kubeba box inaitwaje??
Ukilipia Jf inaitwaje?? Mchango au ??
Nyani Ngabu .. ongezea na hizi
Mpango, michuzi pesa (money), michuzi, + mikwanja, mapene, masimbi, chambi chambi, bingo, chapaa, dola, famba, faranga, fuba, goto, jiwe, mafweza, mapene, mavumba, mbumba, michuzi, mkwanja, mshiko, ngawila, ngudongudo, uchache, vumba;
Baba wa taifa, bluu, buku, buku teni, kifaru, kilo, kisu, majani, mkoba, nusu kilo, pochi, tenga, vifaru viwili, wekundu wa msimbazi;
Bati, dala, doma, fisi, gobole, gwala, hais, jero, jiti, karume, mbala, njoroge, nyanga, nyento, nyomi, paundi, pini.
ukiikusanya nyingi inaitwa utajiri
ukiikusanya kidogo inaitwa umaskini
ukiikusanya nyingi kwa njia mchanganyiko wa hongo na rushwa inaitwa ufisadi