February Maropes, Hatari kwa Tanzania. Inabidi Akamatwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

February Maropes, Hatari kwa Tanzania. Inabidi Akamatwe

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Muke Ya Muzungu, Jun 18, 2011.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Jun 18, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Siku kadhaa zilizopita, tuliwaonya kwamba Kijana February Maropes, ni hatari kwa usalama wa Tanzania, lakini kwa bahati mbaya, kila tunapoanzisha thread za kumuweka wazi (uhaini wa kijana February wa Bumbuli-ko) madhambi yake ya kifisadi; uhusiahano wake na na RA, EL na kashfa nyingi alizofanya; hasa kuuuza siri za nyingi kwa mataifa makubwa, moderator mara nyingi anazima hoja zetu ghafla. Huyu kijana ni hatari kwa Tanzania, nasubiri siku wiki-leaks zinatoka kama hamtamuona kijana alaivyokuwa akiiba siri ikulu na kuwapelekea wazungu. Hata siri za ikulu nyingi huyu kijana kaiba na kumpelekea RA na EL. Huyu kijana kapokea hea nyingi sana kutoka kwa hawa mafisadi wakuu. Maropes Jr. Tunaomba ukanushe, kwa maana tunayo orodha ndefu sana ya matendo yako ambayo tutayamwaga hadharani siyo tu jamii forums ila pia kwa Usalama wa Taifa

  *******
  Siyo Tuhuma. Subirini wikileaks zaidi zitoke. Huyu kijana alikuwa akipeleka habari kutoka IKULU ubalozi wa marekani. Ushahidi tunao, na viongozi wengi ndani ya chama tawala wanalifahamu hilo. Licha ya yote, USALAMA wa taifa inafahamu kwamba kijana alikuwa kiiba nyaraka, hata na hotuba za Rais na kumpelekea RA na EL kabla hata Rais kutoa hotuba hizo.Yaani hata kabla neno alijatangazwa, wamarekani tayari walishafikishiwa habari na JM. Subirini Wikileaks zaidi ambazo zitatoka hivi karibuni......ili muamini hizi habari..................................
   
 2. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #2
  Jun 18, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Waziri wa Nishati na Madini ametoa mpya kama mzee wa mipasho, nashangaa amedandia hoja ya CHADEMA. Baada ya kupewa mabillioni na RA, Inteligensia za kigeni, wahindi nk. leo anageuka kutokutaka posho za wabunge..... huyu si ni katibu wa CCM? Jamani huyu mbona kaanza mapema sana kuropoka au ni damu ya Nanihiiii????????? Basi hapa Ngeleja anapumua, kwani ahachi kumuandika ngeleja

  UVCCM tumeshamuona huyu mtu kuwa ndumi la kuwili........ Nashangaa anatangaza kuwa anakuwa rais 2015???? Kwa nchi gani? Ubunge ulazimishiwe na baba urais na nani?
   
 3. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #3
  Jun 18, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Hizi habari siyo mpya, Huyu kijana alianza kuwa agent mda mrefu sana. Nashangaa alitaka kupewa uwaziri.... This guy needs to be charged with treason
   
 4. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #4
  Jun 18, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  mmekosana nini na huyu dogo?kama una data zilete acha kutishia.
   
 5. Y

  Yakuonea JF-Expert Member

  #5
  Jun 18, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 601
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ukileta habari kama hii inabidi uende mbali zaidi, hauwezi kumtuhumu mtu alafu usitoe evidence, nafikiri ungetoa ushuhuda wa hayo unayoyasema ili wachangiaji pia wawe na uwanja mpana wa kujadili zaidi, vinginevyo inaweza kutoa picha labda mna matatizo yenu binafsi
   
 6. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #6
  Jun 18, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Hakuna bifu, hii ni ukweli, alafu huyu kijana anakivuruga UVCCM...... akidhania kwamba hatumjui. Huyu ndiye anayemchafua, kwa kuanika mambo ambayo siyo kweli dhidi ya Riz1. Sababu, alinyimwa uwaziri..............
   
 7. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #7
  Jun 18, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  kwa hiyo umetumwa na Riz1??hebu weka clear hii thread yako,mambo ya UVCCM yaje baadae.
   
 8. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #8
  Jun 18, 2011
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Mafumbo ya nini? Hapa ni JF 'where we dare talk openly!'
   
 9. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #9
  Jun 18, 2011
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,003
  Likes Received: 324
  Trophy Points: 180
  Mh my dia jipange upya urudi ur so cheap
   
 10. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #10
  Jun 18, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,138
  Trophy Points: 280
  Nna uhakika kakuchukulia.
   
 11. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #11
  Jun 18, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  sasa hata yale manung'uniko ya Hosea yaliyopatikana kwenye ubalozi wa marekani yalipelekwa na Makamba jr?
   
 12. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #12
  Jun 18, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Ndio habari za Hosea kumsema JK zilipelekwa na Makamba Jr........ Sasa JK amfahamu msaliti wake
   
 13. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #13
  Jun 18, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,160
  Likes Received: 1,162
  Trophy Points: 280
  Wasilisha tena.
   
 14. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #14
  Jun 18, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  waacheni wafu wakazike wafu wao!
   
 15. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #15
  Jun 18, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mtu kama wewe mwenye uwezo wa kupata habari za siri kutoka ikulu na kwa viongozi waandamizi wa nchi za nje unategemewa kuwa mtu mwenye uelewa mkubwa hasa juu ya haki zako za kiraia. Hivyo hatua za kufanya ili kutimiza haki yako ya kiraia, ni kumfungulia kesi mahakamani mtuhumiwa kwa kuhatarisha usalama wa taifa, huko utautoa huo ushahidi ambao hauitajiki sana hapa JF zaidi ya kuendekeza malumbano yasiyo na tija.
   
 16. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #16
  Jun 18, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Elezeni tangible thing acheni blaa blaa. We do not care kilichopo moyoni mwake (wastage of time) tudiscuss kile akisimacho. can you prove hata kile slaa anachokihubiri ndo kilichopo moyoni mwake? rethink.
   
 17. Andrew Kellei

  Andrew Kellei JF Gold Member

  #17
  Jun 18, 2011
  Joined: Sep 11, 2009
  Messages: 349
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Mwingereza,huyu jamaa kakufanya nini mbona unamsakama sana?Kwenye thread yako nyingine umesema ni hatari kwa usalama wa Taifa.Hebu funguka utuambie kilichoko ndani yako/unachokifahamu maana inaonekana kuna mambo mengi kumhusu unayajua.
   
 18. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #18
  Jun 18, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Ukweli hata akiuongea shetani haubadiliki kuwa uongo...., kwahiyo hata nani akitetea ufujaji wa kodi zote ni bora zaidi..., the more the merrier
   
 19. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #19
  Jun 18, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,907
  Likes Received: 203
  Trophy Points: 160
  Hapa naona ni Character assassination tu inafanyika, hakuna ushahidi unaoweza kunishawishi kukubaliana na hoja yako...
   
 20. T

  The Priest JF-Expert Member

  #20
  Jun 18, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 1,026
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kweli wewe ni mwingereza,lakini mimi sijakuelewa vizuri unamzungumzia January au Ngeleja? emu funguka vizuri ueleweke..
   
Loading...