February Maropes, Hatari kwa Tanzania. Inabidi Akamatwe

Siku kadhaa zilizopita, tuliwaonya kwamba Kijana February Maropes, ni hatari kwa usalama wa Tanzania, lakini kwa bahati mbaya, kila tunapoanzisha thread za kumuweka wazi (uhaini wa kijana February wa Bumbuli-ko) madhambi yake ya kifisadi; uhusiahano wake na na RA, EL na kashfa nyingi alizofanya; hasa kuuuza siri za nyingi kwa mataifa makubwa, moderator mara nyingi anazima hoja zetu ghafla. Huyu kijana ni hatari kwa Tanzania, nasubiri siku wiki-leaks zinatoka kama hamtamuona kijana alaivyokuwa akiiba siri ikulu na kuwapelekea wazungu. Hata siri za ikulu nyingi huyu kijana kaiba na kumpelekea RA na EL. Huyu kijana kapokea hea nyingi sana kutoka kwa hawa mafisadi wakuu. Maropes Jr. Tunaomba ukanushe, kwa maana tunayo orodha ndefu sana ya matendo yako ambayo tutayamwaga hadharani siyo tu jamii forums ila pia kwa Usalama wa Taifa

*******
Siyo Tuhuma. Subirini wikileaks zaidi zitoke. Huyu kijana alikuwa akipeleka habari kutoka IKULU ubalozi wa marekani. Ushahidi tunao, na viongozi wengi ndani ya chama tawala wanalifahamu hilo. Licha ya yote, USALAMA wa taifa inafahamu kwamba kijana alikuwa kiiba nyaraka, hata na hotuba za Rais na kumpelekea RA na EL kabla hata Rais kutoa hotuba hizo.Yaani hata kabla neno alijatangazwa, wamarekani tayari walishafikishiwa habari na JM. Subirini Wikileaks zaidi ambazo zitatoka hivi karibuni......ili muamini hizi habari..................................

ma K ni mtoa hoja au mwanasiasa uchwara lakini hii tuhumu ina utata kwenye RED hapo ili iweje?
bili USA wana njia za kutosha kula DATA za ikulu hii ni trick ya kizamani sana
USA hawa play low game kama hizi kwa sasa kama wanataka taarifa kutoka ikulu wanatapa tu bila informa
sisi ni taifa zadhifu sana kwao,
Na ma K wanamuamini kwa lipi hacheni kumpaisha
 
huna chochote kile, umetumwa na ritz1 basi, ur so cheap guy. kama una evidence weka data zinazoeleweka.
 
Siku kadhaa zilizopita, tuliwaonya kwamba Kijana February Maropes, ni hatari kwa usalama wa Tanzania, lakini kwa bahati mbaya, kila tunapoanzisha thread za kumuweka wazi (uhaini wa kijana February wa Bumbuli-ko) madhambi yake ya kifisadi; uhusiahano wake na na RA, EL na kashfa nyingi alizofanya; hasa kuuuza siri za nyingi kwa mataifa makubwa, moderator mara nyingi anazima hoja zetu ghafla. Huyu kijana ni hatari kwa Tanzania, nasubiri siku wiki-leaks zinatoka kama hamtamuona kijana alaivyokuwa akiiba siri ikulu na kuwapelekea wazungu. Hata siri za ikulu nyingi huyu kijana kaiba na kumpelekea RA na EL. Huyu kijana kapokea hea nyingi sana kutoka kwa hawa mafisadi wakuu. Maropes Jr. Tunaomba ukanushe, kwa maana tunayo orodha ndefu sana ya matendo yako ambayo tutayamwaga hadharani siyo tu jamii forums ila pia kwa Usalama wa Taifa

*******
Siyo Tuhuma. Subirini wikileaks zaidi zitoke. Huyu kijana alikuwa akipeleka habari kutoka IKULU ubalozi wa marekani. Ushahidi tunao, na viongozi wengi ndani ya chama tawala wanalifahamu hilo. Licha ya yote, USALAMA wa taifa inafahamu kwamba kijana alikuwa kiiba nyaraka, hata na hotuba za Rais na kumpelekea RA na EL kabla hata Rais kutoa hotuba hizo.Yaani hata kabla neno alijatangazwa, wamarekani tayari walishafikishiwa habari na JM. Subirini Wikileaks zaidi ambazo zitatoka hivi karibuni......ili muamini hizi habari..................................

February Maropes ni nani,anafanya kazi gani,imekuwaje mpaka anakuwa karibu sana na ikulu?
 
Unaleta tuhuma alafu unasema dada unazo kisha unataka tuchangie? Aaaagh!
 
February Maropes ni nani,anafanya kazi gani,imekuwaje mpaka anakuwa karibu sana na ikulu?
Dada wewe si mwenyeji sana humu?? Kiingerezza wajua? rope unajua maana yake? Kama ndivyo basi weka "ma" kabla ya rope then jiongeze.
Ila mazee tuhuma hizi za kitoto kabisa na zinaonesha personal vendetta hapa. Huyu kijana ni makini kufanya haya unayojaribu kumpaka matope. Jipange upya
 
Wewe unachuki binafsi na unagombania madaraka UVCCM.

Kama upo CDM, hayo anayoyafanya sijui ya kuripoti wapi, ungeyafurahia, kwani kwakufanya sisi tunaamini, saa ya ukombozi ndio inazidi kukaribia.
 
Back
Top Bottom