Feb 28 !!!!

Feb 28 !!!!

hahaha! Ndo unanipiga teke hivi! Hivi!! He he eti nini?

Sijakupiga teke bana..ni midadi tu ya miondoko yako mithili ya Twiga. Mmmh kwa sifa hii majangili watakuacha kweli!!!?
 
Hayo macho na hilo pozi tobaaa! nimeshaibiwa jamani!
punguza basi hata kidogo angalia chini bhana!

Ila wewe si ulinitangazia umepata mwingine!! Naona kweli Mungu hamtupi mja wake. Kanisogezea mtoto Munkari without bank charges...daaah!!!
 
Last edited by a moderator:
hehehe! Mtoto wa kizungu wewe!nywele hizo mashallah!! hapo M.E.M.A kafikaaa!! Ukimwambia nifate.. Huyo bila kuuliza! Ukimwambia simama,kaa yani bila kipingamizi!!

Ukiona natii hivyo ujue ni hiyo 'binduki' aliyoshika hapoo...!!
 
Last edited by a moderator:
Yangu pua mie! mbona mimi hujawahi nisifia?

Jamani you are so beautiful..my love. Yaani kichwa chako ni kama chui awindae..mwendo wako ni kama wa paa. Tabasam lako ni kama jua lichomozapo mashariki asubuhi tulivu. Mng'ao wa uso wako ni kama mbalamwezi.
 
Duh! haya bhana!
 
Back
Top Bottom