M.E.M.A
JF-Expert Member
- Jul 27, 2013
- 1,373
- 472
Nakupenda pia...mmmwaahUmeonaeee! ndo maana nakupenda.
Nakupenda pia...mmmwaahUmeonaeee! ndo maana nakupenda.
Nakupenda pia...mmmwaah
Hata sio ndiyo. Ila na wewe nakuona mzuri mzuri...dah!
angalia asichomoke zizini!!
Hayo macho na hilo pozi tobaaa! nimeshaibiwa jamani!
punguza basi hata kidogo angalia chini bhana!
hahaha! Nimependa hapo mapinduzi na tawala!! Btw-miye niko pooaa kabisaaa!! Za wikend??
Mi wala simchukui ntamuazima tu!!
yupoje yupoje!!!
bado kimoja!!
Na wewe pia mwaaa!
Mbona waniogopesha?