Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,487
- 96,981
hahaha!dah jirani nilikuwa zamu kulinda ! Usinambie em ngoja nilisake mana nshasusa miye!!
Haya jirani nipe matokeo. Kama mazuri kesho tupongezane bhana.
hahaha!dah jirani nilikuwa zamu kulinda ! Usinambie em ngoja nilisake mana nshasusa miye!!
Babu shkamoo
haha! Wanazingua ujue!! Maneno miingi hamna kitu bana bado danadana! Yakiwa vizuri tutaenda escape kabisa kunywa govinder kumar!!
hahahaha! Usitake mwenzio ajikomit suisaid kabla hyo machi!?! Loh!
hahaha! Duu! Ni kwamba watu wanakula magazeti ama?
Hakuna anayekula gazeti, ila hilo gazeti linamilikiwa na chama cha mapinduzi na huku chama tawala ni chadema. So you can imagine halina wasomaji kabisa.
Mzima wewe?
Hawezi huyu. Kwani anatoka ule mkoa aliyetokea shujaa wa kujicomit suihamis?
Unaona sasa kama mambo yenyewe ndio haya basi bhanahahaha! Anakulindia huku anajisevia!!