FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Lionel Messi is keeping us in the La Liga race while the La Liga referee's are keeping Real Madrid in it.

IMG_20170228_092348.jpg
 
Ayaaa wale wafia chama kwenye mvua masika kiangazi usiku na mchana...we goooo camp Nou...
 
Macherano ndani ya nyumbaaaaaa ,Dennis Suarez na Jord Alba wanaanza na Rafinha mpira utakua mtamu sana
 
Heeee jaja ja Rafinha amewekwa full back leo ,kweli Barca ni nouma ,najua amewekwa hivyo kwakua Macherano is back na Rakitic atakua anacheza square ya full back ya kulia in and out na centre
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom