Kwanini sio Barca mkuu? Ndio matokeo ya kununua vikombe sasa hela imeisha unataka wafanyaje?Esto No es El Barça(hii siyo Barca)
Nilishasema humu, Koeman aondolewe. Huwezi kua unapanga kikosi kipya kila mechi. Hiyo chemistry ya team utaijenga vipi?Shida ni Koeman, huwezi kuanza kila siku na kina Pique, Busi na S.Roberto.
Wale vijana Nico na Gavi weekend walipiga mpira mwingi sana bila kumsahau Puig, leo unawaweka bench, jinga kabisa.
Hatuna kocha pale,sijui kwanini uongozi unamvumilia mpaka leoNilishasema humu, Koeman aondolewe. Huwezi kua unapanga kikosi kipya kila mechi. Hiyo chemistry ya team utaijenga vipi?
Kocha ndio hovyo timu nyingi tu zina wachezaji average lakini wanafanya vizuri angalia wachezaji wa Liverpool ni was kawaida ila kocha ndio yupo vizuri.yaaan hili litimu lilivyo libovu hata aje nani sijui Xavi sijui nani linakuwa kama limtego la kuharibu CV za watu hapo .
Mpira tunatawala sana, kufunga sasa ndio mtihani
Riqui kwanini haingizwi, anajua ku-force sana yule chalii