kuna chanzo kimoja cha habari kinasema barcelona wanampango wa kumuuza kwenda atletico madrid kama sehemu ya kumchikua griezman maana wanaanza kumuona mzigo kwa hizi injaries za mara kwa maraHuyu dembele anataka kuwa ka bale sasa...
Sijui nn sasa hiki!!!!.....ndo anaanza Kuzoea maisha eti injury.......kuna chanzo kimoja cha habari kinasema barcelona wanampango wa kumuuza kwenda atletico madrid kama sehemu ya kumchikua griezman maana wanaanza kumuona mzigo kwa hizi injaries za mara kwa mara
Sahau hilo haliwezi tokeakuna chanzo kimoja cha habari kinasema barcelona wanampango wa kumuuza kwenda atletico madrid kama sehemu ya kumchikua griezman maana wanaanza kumuona mzigo kwa hizi injaries za mara kwa mara
Bado ni mapema sana kulaumu juu ya Dembele. Injuries 2 sidhani kama zinatosha kuvunjika moyo. Uzuri ni kwamba injuries zimekuja wakati ambapo hata Dembele mwenyewe bado hana umuhimu sana kwenye team. Hata ukiangalia alipoumia mara ya kwanza hatujammiss sana. Waliopo wameendelea kuwasha moto. Hata safari hii moto utaendelea kuwashwa tu.kuna chanzo kimoja cha habari kinasema barcelona wanampango wa kumuuza kwenda atletico madrid kama sehemu ya kumchikua griezman maana wanaanza kumuona mzigo kwa hizi injaries za mara kwa mara
Acha ushamba
mkishafumuliwa marinda mnakuja kuleta upuuzi wenu huku.
gazzetti za Spain hazikosei hata siku mmoja-hayo maandishi ni kabla ya el classicoGazette za Spain zinasema Suarez has hit form at the right time,awareness in the box and anticipation of what team mates are about to do zimerudi-killer instinct is also back-bad news for RM- bring on the classico
afadhali angemuweka messi nje na kumchezesha Suarez-we need his momentum bila interruptionLineup yetu dhidi ya Espanyol
Barcelona XI: Cillessen; Sergi Roberto, Pique, Vermaelen, Digne; Busquets, Alena, Denis, Aleix Vidal, Paulinho, Messi
Subs: Ter Stegen, Semedo, Rakitic, Suárez, Rafinha, Jordi Alba, André Gomes