Tunacheza vizuri sana teamwise falsafa inazidi kuwaingia players ,Dennis Suarez namuona anazidi kupata confidence sana na Semedo anazidi kuizoea Barca
Defence naipa 98% iko imara sana ,Paulinho is good at ball control na possession yake halafu ana nguvu God bless him
Eibar hawajafanya tactical attack hadi sasa hivi
Huyu stergen nahisi atakuwa ndiyo kipa anayeongoza kwa kupiga pasi. Utasema mchezaji wa ndani!!!. Ni jambo la kufurahisha kwamba tunaweza kucheza vizuri. Licha ya kuwa rakitic, umtiti, alba na suarez hawapo.