Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,809
- 33,465
Mkuu unafurahisha sana kwa kusema kuwa countinho ni mchezaji wa kawaida kweli tunatofautiana kimutazamo lakini kwako umezidi countinho ambaye akikosekana livepoll inayumba unasema ni wa kawaida,pia angalia countinho anacheza na wachezaji wa kawaida sana pale liverpool bado ana shine.Ukiachana na hilo kwenye kikosi cha brazil ni first eleven angalia brazil inawachezaji wangapi lakini bado yupo first eleven.countinho hadi akaitwa little magician jua anavitu unique vipi ukitua hapo barcelona ambapo atakutana na world class players.barcelona si wajinga kuonyesha jitihada zao zote kwa countinho na kumbuka usajili wa countinho ulikuwepo toka mwaka jana lengo ni kuziba pengo la iniesta hawasajili kutokana na kuondoka kwa neymarCjawah kumkubal sana coutinho... N mchezaj wa kawaida sana... Yaan huyo hata 45 n nying sana.... Alipaswa awe atleast kwenye 30.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo ana akili za Kishamba sana, Anajua coutinyo akienda hapo Barca itaendelea kuwa strong zaidi, na ikiwa hivyo maana yake itakula kwake
Cjawah kumkubal sana coutinho... N mchezaj wa kawaida sana... Yaan huyo hata 45 n nying sana.... Alipaswa awe atleast kwenye 30.
Sent using Jamii Forums mobile app
Barca ni big team-hii Coutinho saga tumeshachoka-too much money is involved na returns kuna question mark.Barca can play a waiting game hadi January and from then on we proceed.Ni bora iwakose wote kuliko kumkosa Coutinho,,ndo maana Neymar anafnya figisu akijua Little magician akisajiliwa,kutakuwa hamna pengo lake,hvyo anataka ajiunge alipo yeye
Mwanafunzi wangu tatzo Dyabala akibanwa kidogo anakuwa kma nyoka wa kuchezea ngoma hang'ati kwa seri sina tatzo na ww ila mm namhitaji Ossumanedaaaah eti Dembele €150m sasa hazard itakuwa £1b. nafasi ya Neymal kuna wachezaji wengi tu Deufolou, Rafinha, wajitahidi tu wampate inigo na michael serri pamoja dyabala basi maisha yetu yasonge
Dyabala alikuwa na tatizo hilo alipokuwa juve, kwa Barca wakuchungwa ni wengi sana, hivyo atakuwa anafanya vizuri sanaMwanafunzi wangu tatzo Dyabala akibanwa kidogo anakuwa kma nyoka wa kuchezea ngoma hang'ati kwa seri sina tatzo na ww ila mm namhitaji Ossumane
Dyabala alikuwa na tatizo hilo alipokuwa juve, kwa Barca wakuchungwa ni wengi sana, hivyo atakuwa anafanya vizuri sana
Surewaaarabu wametuharibia mpira daaaaah hatareeereeeeeeee. lkn ngoja tuone
Ni sawa lakini wangejaribu kucheki na wengine pia kama vile:-usajili umekua mgum sana misimu ha hivi karibuni kutokanana "inflation" ya bei iliyosababishwa na ligi ya uingereza. vitimu vidogo vinatumia hela nyingi sana kusajili wachezaj wa kawaida. PSG nao wamechangia. Dembele €150m? Coutinho €120m+???? Duuh
Bora Barcelona ibaki na hela, iwaamini wachezaj wake. Left wing weka Gerald Deloufeu, Alcantara hata Denis Suarez. Midfield Deniss Suarez, Sergi Roberto, Carles Alena na Sergi Samper wazuri pia kwaajili ya rotation. Arda Turan anaweza kuuzwa. Munir El Hadad mzuri, abaki kumsaidia Luis Suarez. Andre Gomes na Paco Alcacer wapewe nafas nyingine kutuprove wrong
Another day in Philipe Contihno Saga who will lead the race and becomes the winner
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unamfananisha PEA na dembele?Yani wale borrusia ndio mapunguani kweli yani mchezaji status yake ndogo wanasema 150 sasa pierre watamuuza kiasi gani
DEMBELE yuko powa saña. Sema hajakaa sana gemuni na right kama atakuja barca nakupa misimu miwili tu dogo atakuwa anaupiga mwingi sana kuliko alivyo hivi sasaMkuu unamfananisha PEA na dembele?
I mean bado kinda sana kwahiyo anamuda wa kutosha sana kufiti barca laying styles kadiri muda unavyoenda...DEMBELE yuko powa saña. Sema hajakaa sana gemuni na right kama atakuja barca nakupa misimu miwili tu dogo atakuwa anaupiga mwingi sana kuliko alivyo hivi sasa
Sent using Jamii Forums mobile app