Barca tunaharibu,we are bigger then this-just let him go-Sisi Barca ktk ku pursue players before tumecheza foul nyingi sana.jackline1 wanachokifanya Laliga ni sawa kwa sababu wanatetea team zao za Spain soma hapa chini utanielea
1.Hadi sasa hivi hamna official negotiation ya contract ya Neymar kati ya Barca na PSG (imagine Neymar alivyotudharau supporters wake au sijui kama tumemfanyia kitu gani kibaya)
2. Neymar £222M ameingiziwa kwenye account yake na mwanasheria wake pamoja na kodi jumla ya £300 ili avunje contract yake na Barca aende kama free player PSG (hii maana yake PSG hawafungamani na Barca katika terms za makubaliano kwa aina yoyote ile hata zile options zakuwaingiza some playerz in exchange tupunguze demage walizofanya PSG hamna )
3.Laliga lengo lao PSG na Barca ndio wa negotiate i.e wakae meza moja -hii ina maana kubwa sana ndio maana hadi sasa hivi wanasema hawajui hela zimetoka wapi
Kumbuka duniani kuna changamoto za vilabu ambavyo vinapewa support na state na suala la money laundering
In short hela ya Neymar imetoka serikali ya Qatar, PSG kwenye financial statements zao hawana huo msuli
Tatizo sio Barca tatizo ni LPF (laliga) wana protect clubs zao and they are there to serve the public interestBarca tunaharibu,we are bigger then this-just let him go-Sisi Barca ktk ku pursue players before tumecheza foul nyingi sana.
Huyo Angel maria,whatever his name is,ni sub standard sio Barca type-consistence yake ni suspect-it aint wise kumleta mchezaji,fans wamgeuke na kumzomea
At last umenielewesha mkuujackline1 wanachokifanya Laliga ni sawa kwa sababu wanatetea team zao za Spain soma hapa chini utanielea
1.Hadi sasa hivi hamna official negotiation ya contract ya Neymar kati ya Barca na PSG (imagine Neymar alivyotudharau supporters wake au sijui kama tumemfanyia kitu gani kibaya)
2. Neymar £222M ameingiziwa kwenye account yake na mwanasheria wake pamoja na kodi jumla ya £300 ili avunje contract yake na Barca aende kama free player PSG (hii maana yake PSG hawafungamani na Barca katika terms za makubaliano kwa aina yoyote ile hata zile options zakuwaingiza some playerz in exchange tupunguze demage walizofanya PSG hamna )
3.Laliga lengo lao PSG na Barca ndio wa negotiate i.e wakae meza moja -hii ina maana kubwa sana ndio maana hadi sasa hivi wanasema hawajui hela zimetoka wapi
Kumbuka duniani kuna changamoto za vilabu ambavyo vinapewa support na state na suala la money laundering
In short hela ya Neymar imetoka serikali ya Qatar, PSG kwenye financial statements zao hawana huo msuli
Pesa ya kuvunja mkataba anatoa wapi kama sio kutofuata taratibu na sheria za LLFP UEFA NA FIFA haiwezekani mchezaji ghafla anaamua kuvunja mkataba tena wa pesa ndefu kuliko Hata itajiri wake. There must be PSG hands behind obviously it is Lakini tujue wazungu sio punguqni ndo maana wenzetu soccer ni moja wapi ya institutions kubwa zinazofuata katiba na sheria so hamna kufanyana mafools na kubehave as you wish lqzima kanuni zifuatwe na if so hopefully zitafuatwa neymar ain't going anywhere atake asitake .Nauliza jamani, Laliga kukataa kuchukua ile pesa kunazui vipi kuondoka kwa Neymar maana yeye anadai anavunja mkataba wake na fc.barc? Au inamaana laliga wanaweza kumzuia mchezaji hasivunje mkataba wake na timu yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata awe nje ya barca still in the presence of messi and ronaldo neymar hawezi kuwa mchezaji bora. Going out of barca does not mean that you're running away from messi in fact it's a lot more hard for you when you try to compete messi when you are not ronaldo. So I think huyu jamaa anatafuta club anayoweza kuandika rekolodi zake na akaabudiwa and of course not at camp nou ( new field ) labda at PARC des princes ambapo ataweza vunja record za watu not at SANTIAGO BERNABEU or NEW FIELD. Of course Kama zlatan aliabudiwa basi yeye itakuwa a lot more.Neymar hawezi kuwa mchezaji bora duniani kama yupo team moja na Messi
Qcha uongo una uhakika au unauafiata maneno ya perez acha ushabiki plastic brotherHuo uongozi ndio umechemka ndio maana Neymar anawapelekesha mpaka sasa,waliweka release € 220m wakidhani hakuna timu inayoweza toa hiyo hela .Release clause ya CR7 ni €1bilion while wao wameweka release clause ya Messi €300m
Kama ulikua hujui messi anayo UA zodane[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mpira jamaa yangu sio uadui especially professional footballKama ulikua hujui messi anayo UA zodane[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
mahela hayooooo tuna drop big name before jmos Camp Nou watam present siku ya 13/08 Spanish Cup match na Real Madrid halafu kabla mwezi haujaisha another big name tena tunali introduceGOOD NEWS-Barca amechukua hela ya Neymar-that chapter is now closed
Yeah Ngoja Dogo (Neymar) akale Maisha. Maana Deal ya miaka 5 kwa malipo ya £450million (Tsh billion990) kwa jumla ukijumlisha mshahara na bonasi si mchezo:-ni katika harakat za kutafuta maisha tu sioni cha ajabu kwa neymar kuondoka maana ni kama umeachana na mpenzi wako haina maana ya kuanza kumkashifu....
barca ni kubwa kuliko yeye so tusijawe na hasira na kumchukia dogo
sent from iphone 7 using Jamii forum mobile app
Ligi kama inachukua mastaa tu release clauses siyo kitu cha kushangaa. Mastaa wenyewe ndiyo hutaka. Huko mchangani release clauses za nini?Barca wanaweweseka,walipokuwa wanawataka kina fabregas,Henry now Courtinho walijiita Barca is more than a club,na haya maujinga ya kuweka release clause uangaliaji wangu wa Mpira zaidi ya miongo miwili nimekuwa nausikia sana kwenye mikataba ya kijinga ya Spain hasa Barca na Madrid na wamekuwa wakifanya hivyo kwa kuwatisha vilabu vingine,sasa this time wameingia choo cha kike wamekutana na bomba LA mafuta kama LA Hoima jamaa wanatoa pesa tu sasa barca wamedata.
Wanajaribu kutumia uhusiano wao wa kibaguzi wa waspain FA, ilihali uefa imesema FA haiwezi zuia kwasababu barca hawaja toa malalamiko rasmi.
Pia PSG wametumia umafia sio wa dunia hii kumbeba Neymar.
Na wamewakomesha sasa barca imekuwa timu ya kulia lia na sio tena waliokuwa wanajiita Mo than a club kwani kuna Dollar sign imewanyong'onyesha.
Kama hujui bora ukae kimyaQcha uongo una uhakika au unauafiata maneno ya perez acha ushabiki plastic brother
Sent using Jamii Forums mobile app
Msimu unaokuja nahisi tutakuwa na timu bora sana. Hii pesa ya Neymar ni baraka kubwa.Kuondoka kwa neymar kutafanya kikosi ki-prove kuwa Barca ni zaidi ya mtu, hivyo kufanya vizuri sana msimu unaoanza
Sent using Jamii Forums mobile app