Neymar ataamua acheze namba anayotaka kucheza na atakuwa na influence kubwa kwenye usajili utakaokuwa unafanywa na PSG na wataendelea ku-dominate ligue 1 challenge kubwa ni kuchukua champions leagueukweli mimi Barca na soccer as a whole nimeijua not long ago-Neymar huko PSG atacheza kati or will he be coming from the wings?PSG mfumo wao vipi? will it suit his style of play? Will he climb to greater heights or kajichimbia kaburi-haya yote nayasoma kwenye Spanish press ambayo inamtakia mabaya- labda humu I will get rational answers je WILL he climb to greater heights???
Simply league wamesha dominate hata kama last season hawakuchukua sema level ya league yao sio ,Hata wachezaji wake sisikii kwenye world nominations za football (kuna tatizo)Neymar ataamua acheze namba anayotaka kucheza na atakuwa na influence kubwa kwenye usajili utakaokuwa unafanywa na PSG na wataendelea ku-dominate ligue 1 challenge kubwa ni kuchukua champions league
PSG wanaamini Neymar bado hajafika kwenye peak na umri ni mdogo(25) tofauti na wakina Cavani,Zlatan ambao walisajiliwa wakiwa na umri mkubwa so wanaamini wanaweza kutengeneza timu kuchukua Champions League
Tangu mwanzo Neymar uchezaji wake haukuwa unafit kwenye mfumo wa Barcelona.Rossell+Batromeu walifanya makosa kumsajili Neymar walipaswa wawaachie Real Madrid,Mpaka leo Neymar ameigharimu Barca almost €200m na wanakuja kumuuza kwa €220m so ukiangalia faida wanauoipata ni ndogoTrust me, neymar is a good player but Barca made him better.
Kuanzia kwenye style of play alipewa uhuru wa kuchezea mpira hata akipoteza sio kesi.
Kukaa na mpira muda mwingi bila kukaba pia ilikua ni advantage.
Playing alongside Messi is a plus, leave alone Suarez, Iniesta and other world class players!
Sioni kama atayapata haya kule ufaransa au kwingineko.
- KANA -
Ili uwe kwenye tuzo either timu yako ya taifa ichukue WC/Euro au Champions League,Roman Abromovic alitumia approach hiyo hiyo mpaka Chelsea wakachukua Chqmpions League na Man City wanatumia approach hiyo hiyoSimply league wamesha dominate hata kama last season hawakuchukua sema level ya league yao sio ,Hata wachezaji wake sisikii kwenye world nominations za football (kuna tatizo)
Also wale jamaa ni copy and paste ya Man city domination yao ni locally ,Europe hata wafanyaje still wana small minds
Hata kama mwaka husika hamna hizo country competitions? Au sijakusoma?Ili uwe kwenye tuzo either timu yako ya taifa ichukue WC/Euro au Champions League,Roman Abromovic alitumia approach hiyo hiyo mpaka Chelsea wakachukua Chqmpions League na Man City wanatumia approach hiyo hiyo
we jamaa hakuna kitu unajua 2012 Barca alichukua UEFA au Argentina ilishinda Kombe lolote? mbona Messi akashinda Ballon dor na je hiyo hiyo 2012 wakat Chelsea anachukua UEFA kuna mchezaji wa chelsea aliyepewa Ballon dor? kwa hiyo UEFA sio fact kubwa maana wakti mwingine mchezaji anaeza kushinda Ballon dor bila kuchukua UEFA au kombe lolote la mabaraIli uwe kwenye tuzo either timu yako ya taifa ichukue WC/Euro au Champions League,Roman Abromovic alitumia approach hiyo hiyo mpaka Chelsea wakachukua Chqmpions League na Man City wanatumia approach hiyo hiyo
CR7,Messi,Kaka,Sheva,Ronaldinho wameshinda BalonDior/Player of the year kutokana na mafanikio waliyopata kwenye Uefa Champions LeagueHata kama mwaka husika hamna hizo country competitions? Au sijakusoma?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa anakoelekea jamaa yangu kuna Cavani kule goal ratio yake ni 1:1 last season alifunga goli 35CR7,Messi,Kaka,Sheva,Ronaldinho wameshinda BalonDior/Player of the year kutokana na mafanikio waliyopata kwenye Uefa Champions League
Zidane (1998),Ronaldo de Lima(2002),Canavaro (2006) walishinda hizo tuzo kwa mafanikio waliyopata baada ya kushinda World Cup/Euro
Kuanzia 2010 mpaka leo tuzo zimekuwa CR7 vs Messi ingawa sometimes hawakustahili hizo tuzowe jamaa hakuna kitu unajua 2012 Barca alichukua UEFA au Argentina ilishinda Kombe lolote? mbona Messi akashinda Ballon dor na je hiyo hiyo 2012 wakat Chelsea anachukua UEFA kuna mchezaji wa chelsea aliyepewa Ballon dor? kwa hiyo UEFA sio fact kubwa maana wakti mwingine mchezaji anaeza kushinda Ballon dor bila kuchukua UEFA au kombe lolote la mabara
Kama hufahamu kaka Ballon Dor ni tuzo ya individual Performance mbali na makombe japo kwa sasa imeonekana sahivi makombe yamekuwa na influence kubwa na 2010 sneider hakuwa na individual performance kubwa kuliko Messi na hii tuzo kwa sasa ikifuata misingi yake ya individual performance basi Leo10 anaibeba bila shida sema sasaa imeshaanza kuingiliwa na fitna za won trophies!Kuanzia 2010 mpaka leo tuzo zimekuwa CR7 vs Messi ingawa sometimes hawakustahili hizo tuzo
2010 Wesley Schneider ndio alistahili kushinda (Inter walichukua treble +Holland walifika final WC) badala ya Messi
Kuna mwaka tuzo alipaswa kupewa Xavi or Iniesta Spain walivyochukua Euro lakini tuzo akapewa kati ya CR7 au Messi
Neymar ni mchezaji aliyeandaliwa Wabrazil wanaamini Neymar ndiye mchezaji atakayewaongoza kuchukua kombe la dunia mara ya 6 wanaamini atakuja kuchukua Balon Dior (Kwenye National level huenda akaja kuvunja rekodi za kufunga magoli ya Pele ).Ndio maana huko kwao Brazil huu uhamisho wanaufurahia na anaenda kucheza na Alves +Maquinhos+Thiago Silva ambao anacheza nao BrazilSasa anakoelekea jamaa yangu kuna Cavani kule goal ratio yake ni 1:1 last season alifunga goli 35
Neymar originally ni play maker (hapa ndio ana strength nyingi kuliko scoring) walioshinda hizo tuzo wote wana extra talent za zaid ya playmaking (dribbljng),passing na unique ya ku score
Neymar alihitaji akae Barca miaka miwili tena ili achieve hizo sifa ana longway to go ukiangalia type ya league anayoenda kucheza na rating zake kwenye league bora xa dunia
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiangalie faida kwa hivyo mkuu. Ile ni brand. Unafikiri Barca wamefanya biashara ya Tsh ngapi Brazil kuoitia Neymar kwa hiyo miaka yote? Pia jamaa kwa maoni yangu alifit vizuri sana kwenye mpira wetu hadi akawa tegemeo letu.hatungeweza mtegenea mtu ambaye hakufit.Neymar mvunja ngome.Tangu mwanzo Neymar uchezaji wake haukuwa unafit kwenye mfumo wa Barcelona.Rossell+Batromeu walifanya makosa kumsajili Neymar walipaswa wawaachie Real Madrid,Mpaka leo Neymar ameigharimu Barca almost €200m na wanakuja kumuuza kwa €220m so ukiangalia faida wanauoipata ni ndogo
kusema kwamba Neymar hakufit katika mfumo sina uhakika- mfumo ulikuwa tailored kum maximize potential yake-ndio maana aliruhusiwa kuchezea na kupoteza mipira,alisamehewa hata kukaba at the expence ya beki aliekuwa nyuma yakeUsiangalie faida kwa hivyo mkuu. Ile ni brand. Unafikiri Barca wamefanya biashara ya Tsh ngapi Brazil kuoitia Neymar kwa hiyo miaka yote? Pia jamaa kwa maoni yangu alifit vizuri sana kwenye mpira wetu hadi akawa tegemeo letu.hatungeweza mtegenea mtu ambaye hakufit.Neymar mvunja ngome.
Kama hufahamu kaka Ballon Dor ni tuzo ya individual Performance mbali na makombe japo kwa sasa imeonekana sahivi makombe yamekuwa na influence kubwa na 2010 sneider hakuwa na individual performance kubwa kuliko Messi na hii tuzo kwa sasa ikifuata misingi yake ya individual performance basi Leo10 anaibeba bila shida sema sasaa imeshaanza kuingiliwa na fitna za won trophies!
Ni kweli kwenye biashara Neymar alikuwa brand kubwa sana but kuna hasara kubwa sana amesababishaUsiangalie faida kwa hivyo mkuu. Ile ni brand. Unafikiri Barca wamefanya biashara ya Tsh ngapi Brazil kuoitia Neymar kwa hiyo miaka yote? Pia jamaa kwa maoni yangu alifit vizuri sana kwenye mpira wetu hadi akawa tegemeo letu.hatungeweza mtegenea mtu ambaye hakufit.Neymar mvunja ngome.
Wabrazil wafurahie kuhamia France league 1?au Neymar Barcelona alikua ananyonywa?ahame tu salama angekua muhimu sana uongozi wa Barcelona wangemng'ang'ania tu lazimaNeymar ni mchezaji aliyeandaliwa Wabrazil wanaamini Neymar ndiye mchezaji atakayewaongoza kuchukua kombe la dunia mara ya 6 wanaamini atakuja kuchukua Balon Dior (Kwenye National level huenda akaja kuvunja rekodi za kufunga magoli ya Pele ).Ndio maana huko kwao Brazil huu uhamisho wanaufurahia na anaenda kucheza na Alves +Maquinhos+Thiago Silva ambao anacheza nao Brazil