Hii ndio Juventus iliyotutoa au wamepanga second string?? mbona naona Barcelona kama wana stroll yaani Baca are not even sweating. Coach tuingizie huyo Semedo tumuangalie hawa Juve sio kipimo

Kuna watu wengi hawapo kama dani, Bonnuci, higuain na dybala. Lakini sisi pia tumewapumzisha suarez, busquet, umtiti na alba. Hii ni timu dhaifu siku ile walituotea na mbinu mbovu.