hizi ni habari mbaya mno. ila sijaziona barcablaugranes.com, huwa wana habari latest. dunia ya sasa hakuna left winger bora kama Neymar. hawezi kuuzwa kirahisi, Barto know better.Taarifa mbaya kwa timu yetu ni kua Neymer kautaarifu uongozi wa fc barcelona kua anataka kuondoka msimu huu kutokana na sababu kuu 2, 1. Amechoshwa kucheza chini ya kivuli cha Lionel Messi so anataka akacheze timu ambaye yeye ndo atakua baba mwenye team, 2. Amechoshwa na utaratibu wa kulipa kodi wa Spain, team 4 zimeonesha nia ya kulipa paundi milioni 175 kwa ajili ya kumnunua Neymer, timu hizo ni Man United, Man City, Real Madrid na PSG ambao wapo radhi kutoa Euro milioni 122 pamoja na kiungo Marco Verati ambaye anatafutwa kwa udi na uvumba na Fc Barcelona ili waweze kumnasa Neymer
Sent from Samsung Galaxy s8+
Sidhani kama watakua dhaifu kiivo rejea kuondoka kwa Pogba nafasi yake ikazibwa vizuri sana Pjanic so stil gemu itakua ngumu hasa ukiangalia sisi bado hatujafanya overhul ya midfieldwakuu tarehe 22 jmosi tutakuwa na mechi ya kirafiki na juventus huko Marekani. juve naona kama watakuwa dhaifu baada ya Alves na bonucci kuondoka.
Kuondoka kwa Neymar I doubt-timu yoyote atakayokwenda itabidi a spearhead mashambulizi-hapa nina doubts cause Barca amepewa freedom ya kufanya anachotaka stay with the ball,piga chenga,lose possession etc etc cause kuna watu wako standby na wanuwezo huko mbele ku right any wrong any moment. Burden ya kuongoza attack katika mfumo tofauti I think he needs a couple of years of more perfectionNeymar akitaka Kuondoka kwa lile dau la Euro 222M ase aamshe tu maana hizo pesa ni nyingi mno na zina thamani kuliko Neymar na tuaeza mchukua Reus au Dembele kwa nafasi ya winga!
Ana kadalili ya kukosa loyalty yaani he is not realy loyal mara aseme anafurahi sana kucheza na messi mara adai hataki kuwa chini ya kivuli cha LeoMessi anyway kama psg wataleta hio hela naishauri bodi ya Barca Kumuachiaa!Kuondoka kwa Neymar I doubt-timu yoyote atakayokwenda itabidi a spearhead mashambulizi-hapa nina doubts cause Barca amepewa freedom ya kufanya anachotaka stay with the ball,piga chenga,lose possession etc etc cause kuna watu wako standby na wanuwezo huko mbele ku right any wrong any moment. Burden ya kuongoza attack katika mfumo tofauti I think he needs a couple of years of more perfection
I have this feeling haya maneno hajayasema-ni press zina blow things out of proportionAna kadalili ya kukosa loyalty yaani he is not realy loyal mara aseme anafurahi sana kucheza na messi mara adai hataki kuwa chini ya kivuli cha LeoMessi anyway kama psg wataleta hio hela naishauri bodi ya Barca Kumuachiaa!
Kwa upande wa right back hatuna tatizo tena coz competation ya samedo na Vidal lazima itupe positive result, Neymer ana kila dalili ya kuondoka maana anataka ballon d'or ambayo nadhan hii ndo ilikua nafasi yake kuipat akiwa na jezi ya barcelona maana msimu ujao Messi atacheza nafasi ya kiungo so mashambulizi yote yataongozwa Neymer, huu ndo muda sahihi wa kuonesha ubora wake.watupe hiyo pesa 122 euro+verrati tutasajili wachezaji wengine halafu pia alex vidal yupo vizuri tuuu
Ishu siyo kuvunja record ya dunia, ishu ni nani ataziba pengo lake kama pengo la Xavi mpaka leo halijazibwa. Barcelona ni wabovu sana katika usajili kuna taarifa niliisoma mtandaoni ikitokea Neymer akahama aubamiyeng ndo aje kuziba nafasi ya Neymerikitokea akauzwa kwa hiyo Paundi Milion 175 atavunja record ya usajiri duniani
Barcelona is bigger then any player,perhaps labda Messi,hiyo hela wasiachie hata kidogo tunaweza kujuta kuikosa.Unasema Barca ni wabovu wa usajili so all these years wamechukua various cups na usajili mbovu??? Inabidi tu reason if Neymar wants out-so be it-sisi wote ni armchair fans tuwaachie watu wa technical dept wafanye kazi yaoIshu siyo kuvunja record ya dunia, ishu ni nani ataziba pengo lake kama pengo la Xavi mpaka leo halijazibwa. Barcelona ni wabovu sana katika usajili kuna taarifa niliisoma mtandaoni ikitokea Neymer akahama aubamiyeng ndo aje kuziba nafasi ya Neymer
Sent from Samsung Galaxy s8+
Siku hizi hakuna loyalty kwenye footballAna kadalili ya kukosa loyalty yaani he is not realy loyal mara aseme anafurahi sana kucheza na messi mara adai hataki kuwa chini ya kivuli cha LeoMessi anyway kama psg wataleta hio hela naishauri bodi ya Barca Kumuachiaa!
If so tumtakie heri-Barca ilicheza soccer zuri sana kabla yeye na Suarez ku join,wao walichoongeza ni flair in which hata kipofu anaweza kuona that a goal is coming-tutamiss jinsi anavyo stretch defenders but life has to go on-hii hela on offer is too good to miss-tutamuombea yasimkute ya BravoIla maoni yangu kabisa ya rohoni kwangu kama Neymar watamtaka kwa hiyo hela wamruhusu tu mapema...kuna replacement kibao hata yule mbrazil Rafinha au babu Arda Turan ana fit sana tu ,Dogo Dennis Suarez au Mzee wa Ramontada Sergio Roberto anaweza akafundishwa kwenye hiyo namba bila kumsahau Munir Alhadad
Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo anapenda sana Barca hawezi kuhama trust my wordIf so tumtakie heri-Barca ilicheza soccer zuri sana kabla yeye na Suarez ku join,wao walichoongeza ni flair in which hata kipofu anaweza kuona that a goal is coming-tutamiss jinsi anavyo stretch defenders but life has to go on-hii hela on offer is too good to miss-tutamuombea yasimkute ya Bravo
Goal.com ni wazushi sana, articles zao nyingi ni za kihuni tu , hawana proof ya chochote, na wao ndio wanashikia bango, wewe soma articles zao ukifika sehemu wanasema "goal understand that, " ujue hamna kituDogo anapenda sana Barca hawezi kuhama trust my word
Sema sijui nani ameanza kuzusha na Msemaji wa Barca ameshasema Neymar is not for sale
Neymar ni heri akabaki Barca akawa under "Messi's shadow" maana hata akiondoka hawezi chukua uchezaji bora wa dunia hivi karibuni, labda afuate hela za PSG.If so tumtakie heri-Barca ilicheza soccer zuri sana kabla yeye na Suarez ku join,wao walichoongeza ni flair in which hata kipofu anaweza kuona that a goal is coming-tutamiss jinsi anavyo stretch defenders but life has to go on-hii hela on offer is too good to miss-tutamuombea yasimkute ya Bravo