Kwetu sisi Barca tunawafikishia ujumbe match iko bado half time mbichi sana So Boys we know what we gonna do na mwisho wa msimu kuna takataka tunazisafisha mule first 11
Impossible is attitude, sisi barca hatuna mashabiki wenye mentality kama yako we gonna comeback tena nawashauri wakaulize muitaliano mwenzao AC Milan alikufaje pale Camp Nou 2013
Tulimchana 4-0