Yegomasika JF-Expert Member Joined Mar 21, 2009 Posts 13,164 Reaction score 61,272 May 28, 2011 #1,241 Leo halali mtu hapa, mpaka kieleweke!.
BelindaJacob Platinum Member Joined Nov 24, 2008 Posts 6,494 Reaction score 4,076 May 28, 2011 #1,242 klorokwini said: Acha barca waitwe barca tu! yaani unaangalia soka hata waifu unamsahau! Click to expand... he he...leo chakula utanyimwa akiona hiyo comment yako!!..
klorokwini said: Acha barca waitwe barca tu! yaani unaangalia soka hata waifu unamsahau! Click to expand... he he...leo chakula utanyimwa akiona hiyo comment yako!!..
kipindupindu JF-Expert Member Joined Dec 16, 2010 Posts 1,054 Reaction score 170 May 28, 2011 #1,243 Barca lazima washinde
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,769 Reaction score 288,283 May 28, 2011 #1,244 klorokwini said: Acha barca waitwe barca tu! yaani unaangalia soka hata waifu unamsahau![/QUOTE] Hahahahahah shauri yako Mkuu...Njemba zitarudi! mpira ukiisha unamtafuta mamsap humuoni lol! Click to expand...
klorokwini said: Acha barca waitwe barca tu! yaani unaangalia soka hata waifu unamsahau![/QUOTE] Hahahahahah shauri yako Mkuu...Njemba zitarudi! mpira ukiisha unamtafuta mamsap humuoni lol! Click to expand...
Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 8,635 Reaction score 2,209 May 28, 2011 #1,245 Duh mpaka mascherano anaikokota leo lol
klorokwini JF-Expert Member Joined Dec 2, 2009 Posts 8,647 Reaction score 5,145 May 28, 2011 #1,246 BelindaJacob said: he he...leo chakula utanyimwa akiona hiyo comment yako!!.. Click to expand... Nitakuja Venice au sikaribishwi? lol, BTW sasa ndio tunachinja mazima, kama presha iko low bora zima TV tutakusimulia kesho
BelindaJacob said: he he...leo chakula utanyimwa akiona hiyo comment yako!!.. Click to expand... Nitakuja Venice au sikaribishwi? lol, BTW sasa ndio tunachinja mazima, kama presha iko low bora zima TV tutakusimulia kesho
Belo JF-Expert Member Joined Jun 11, 2007 Posts 12,913 Reaction score 10,263 May 28, 2011 #1,247 Hawa wakwetu leo,kuwa droo hadi half time ni matokeo safi
Yegomasika JF-Expert Member Joined Mar 21, 2009 Posts 13,164 Reaction score 61,272 May 28, 2011 #1,248 BelindaJacob said: he he...leo chakula utanyimwa akiona hiyo comment yako!!.. Click to expand... Chakula unaingia mwenyewe jikoni unajipakulia~full sahani yani!.
BelindaJacob said: he he...leo chakula utanyimwa akiona hiyo comment yako!!.. Click to expand... Chakula unaingia mwenyewe jikoni unajipakulia~full sahani yani!.
NewDawnTz JF-Expert Member Joined Nov 15, 2010 Posts 1,667 Reaction score 362 May 28, 2011 #1,249 Naona hawa vijana sasa wameamua kuanza wao kwa nguvu......nice game so far
BelindaJacob Platinum Member Joined Nov 24, 2008 Posts 6,494 Reaction score 4,076 May 28, 2011 #1,250 klorokwini said: Nitakuja Venice au sikaribishwi? lol, BTW sasa ndio tunachinja mazima, kama presha iko low bora zima TV tutakusimulia kesho Click to expand... karibu sana,julisha mapema unakuja lini na wife lakini🙂..kwa hii mechi bora nishuhudie mpaka mwisho, kuzima tv presha ndiyo itakuwa haishikiki...nina kifua cha kukabiliana na matokeo wala usijali!!ha ha
klorokwini said: Nitakuja Venice au sikaribishwi? lol, BTW sasa ndio tunachinja mazima, kama presha iko low bora zima TV tutakusimulia kesho Click to expand... karibu sana,julisha mapema unakuja lini na wife lakini🙂..kwa hii mechi bora nishuhudie mpaka mwisho, kuzima tv presha ndiyo itakuwa haishikiki...nina kifua cha kukabiliana na matokeo wala usijali!!ha ha
ambili JF-Expert Member Joined Oct 8, 2010 Posts 243 Reaction score 15 May 28, 2011 #1,251 kama kuna mtu anayefahamu website inayoonyesha gemu la man na barca anitumie link tafadhali, hapa nilipo sina access ya TV. Natanguliza shukrani
kama kuna mtu anayefahamu website inayoonyesha gemu la man na barca anitumie link tafadhali, hapa nilipo sina access ya TV. Natanguliza shukrani
BelindaJacob Platinum Member Joined Nov 24, 2008 Posts 6,494 Reaction score 4,076 May 28, 2011 #1,252 Yegomasika said: Chakula unaingia mwenyewe jikoni unajipakulia~full sahani yani!. Click to expand... utapakuaje kama hajapika, lol...shangilia Barca ila usimsahau mamsapu, ha ha!!!..
Yegomasika said: Chakula unaingia mwenyewe jikoni unajipakulia~full sahani yani!. Click to expand... utapakuaje kama hajapika, lol...shangilia Barca ila usimsahau mamsapu, ha ha!!!..
klorokwini JF-Expert Member Joined Dec 2, 2009 Posts 8,647 Reaction score 5,145 May 28, 2011 #1,253 Bubu Ataka Kusema said: klorokwini said: Acha barca waitwe barca tu! yaani unaangalia soka hata waifu unamsahau![/QUOTE] Hahahahahah shauri yako Mkuu...Njemba zitarudi! mpira ukiisha unamtafuta mamsap humuoni lol! Click to expand... Dah! yaani wewe unashangilia Iniesta kumbe na njemba inashangilia Fiesta. kimewaka!. Click to expand...
Bubu Ataka Kusema said: klorokwini said: Acha barca waitwe barca tu! yaani unaangalia soka hata waifu unamsahau![/QUOTE] Hahahahahah shauri yako Mkuu...Njemba zitarudi! mpira ukiisha unamtafuta mamsap humuoni lol! Click to expand... Dah! yaani wewe unashangilia Iniesta kumbe na njemba inashangilia Fiesta. kimewaka!. Click to expand...
klorokwini JF-Expert Member Joined Dec 2, 2009 Posts 8,647 Reaction score 5,145 May 28, 2011 #1,254 goaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaallllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllll messssssssssssssssssiiiiiiiiiiii
goaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaallllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllll messssssssssssssssssiiiiiiiiiiii
BelindaJacob Platinum Member Joined Nov 24, 2008 Posts 6,494 Reaction score 4,076 May 28, 2011 #1,255 pambavu sana messi..kaandunje kale,lol
Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 8,635 Reaction score 2,209 May 28, 2011 #1,256 whaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaat a goal
Balantanda JF-Expert Member Joined Jul 13, 2008 Posts 12,484 Reaction score 4,821 May 28, 2011 #1,257 Messiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaargh
klorokwini JF-Expert Member Joined Dec 2, 2009 Posts 8,647 Reaction score 5,145 May 28, 2011 #1,258 Whaaaaat! a goaaaaal!
Balantanda JF-Expert Member Joined Jul 13, 2008 Posts 12,484 Reaction score 4,821 May 28, 2011 #1,259 Messiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaargh
Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 8,635 Reaction score 2,209 May 28, 2011 #1,260 Huyu dogo nomaaaa.