Well said Verrati,kijana mwenye dream yakuchezea barca ,tutaangalia kati yake na Dyabala nani atafaa end of season hata Isco pia asipoweka clause yakuzuia asihamie Barca Perez
Decisive game wanakua makini sana hata Neyma utoto anauacha sana !!ile free kick nili predict ni goal aliipiga kama ile juzi unakumbuka celta alivyowaua?
View attachment 478409
Well said Verrati,kijana mwenye dream yakuchezea barca ,tutaangalia kati yake na Dyabala nani atafaa end of season hata Isco pia asipoweka clause yakuzuia asihamie Barca Perez
matumaini ya kumpata verrati yamefufuka. media zilikuwa zinasema tungetolewa asingeona umuhimu wa kuja. Isco wamesema anauzwa Euro 30m. iwapo tutachukua treble itabidi tutafute RB tu wakumsaidia Vidal. ila mengi yanategemea kocha mpya.