From my bottom of my heart leo Barcelona wamenitoa machozi. Sijui ndio mnaita emotional! Najua PNC 1 umelala baada ya kavani kufunga. Nawapongeza Barcelona na washabiki wooooote. Hii ni record ya dunia.
Hapana aisee haya ni mauaji ya kimbari. Sijui hata nisemeje. Dah
Barca ya mwaka 2009 haipo tena endelea kujifariji naona yanakuja kuwatokea kama ya Arsenal na mjue kocha wa PSG kafundisha Sevilla anaifahamu sana Campnou atakuja kuwashambulia hapo hadi mtajiona Hamna maana