Rakitic ,Iniesta na Basquets have suffer ili kuiokoa team katikati then uhai utakuja kwa Messi na vijana wake SN vilevile kwa defence ,Rafinha na S.Roberto wanatakiwa wa supply kushoto na kulia respectively Macherano atacheza zone ya katikati defence na ku supply katikati na pembeni mbele
Simple plan