Kumbuka Eusebio aliipandisha Barca B ligi kuu lakini sababu ya sheria Cordoba wakachukua nafasi hiyo na baada ya hapo vijana wengi wakaondoka Denis Suarez, Munir nk na hivyo Barca b haiko stable na ukizingatia alikuwa daraja la kwanza. ..jamaa anafanya kazi nzuri sociedad na saizi wanashindana na atletico nafasi ya 4naona karata kubwa ipo kwa Jorge Sampaoli wa Sevilla. jamaa ni bonge la tactician. jamaa ana historia nzuri sana. Eusebio ni mzuri lakini walimtimua sababu barca B ilikua inazingua. sampaoli ni moja ya makocha bora kwa sasa
Ni kweli, naamini uongozi wa Barcelona uko makini sana!!! Watakuwa wanatafakari na watachukua maamzi sahihiNI KIPINDI CHA.MPITO TU
Maestro Xavi hayupo tena hata Guardiola akirudi hamna kipya hapoDNA ya Barcelona ni high pressing ,Guardiola aliijenga Barca kwa misingi ya Cruyff timu ikipoteza pass ndani ya Sekunde inarudi kwenye himaya ,Barca inaundwa na viungo 3 na siyo washambuliaji
Barca hii haifanyi pressing ,midfield ipo slow ,na Barca hii ikikutana na timu inayo press inapata tabu sana refer game ya Betis,sociedad anoeta,ATM sec leg,nk
Viungo wanazingua haswa Rakitic footwork yake mbovu ,Gomes sijui kakumbwa na nini huyu..
Endapo Luis Enrique asipo saini
Basi Eusebio Sacristan kocha wa Sociedad ana nafasi kubwa ya kuchukua mikoba ,kwanza ni mwanafunzi wa Cruyff, amekaa Barca muda mrefu ,falsafa yake ni pressing sana,na tiki taka kaibadilisha sana real sociedad na malegends wanampigia chapuo ..mie naona sacristan anafaa kuchukua post na ana nafasi kubwa ..koe man ,sampaoli sidhani
Barca hii miyeyusho sana na Enrique ni chanzo timu inacheza pass nyingi backline kuliko kwenye kiungo huku akitegemea MSN
PSG wakifanya pressing nou camp Barca hatoki ,kiungo cha Barca haiwezi kuhimili pressing
Huyu kocha ni bure kabisa, nilishindwa kuelewa imekuaje kumuingiza Gomez na Iniesta? Mimi ninaona kabisa hata Iniesta hastahili kuanza kikosi cha kwanza.kocha amekua kama Mourinho kipindi kile chelsea hana first eleven hadi leo Enrique this season sasa unaliingiza lile Robot Andres Gomes na kumuacha Rakitic halafu tunaruhusu adui awe na mpira na kuruhusu mipira ya kupenya mingi kweli?huyu S Roberto hadi leo kwanini uwe na imani nae wakati umemjaribia sana hii namba haiwezi kuicheza hii ni sawa?tumefungwa kwa sababu za kiufundi yaani ni kocha
Ukiachana na ubaguzi Pep, jamaa ni mwalimu mzuri sana wa mpira.we need team transformation lucho tunakupenda sana lakini naona tunaelekea tamati ,team tangu msimu umeanza haina harmony ya ku press mipira iinstead individual talents ndio zinatumika kuna haja ya Pap arudin aje astaafie pale
Ndo maana Dani Alves kailalamikia Board kwa kukataa kumuongezea mkataba, tumemuacha jamaa kipindi ambacho tulikuwa tunamhitaji.Ila mkuu si Rakitic aliingia na magoli yake mawili Barca leo wamezidiwa na ile chance aliyopoteza yule dogo anacheza namba mbili si bora Alves angepewa tu mkataba mwingine
Kaka kuwa mpole Madrid inashinda March hiiNyumba ya jirani kunaungua viporo vimechacha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] zimebak dakika 10 mechi kuisha na mmoroco anarukarukaKaka kuwa mpole Madrid inashinda March hii
Game limepunguzwa pole sanaKaka kuwa mpole Madrid inashinda March hii
Barca anafungwa na Atletico Madrid JumamosiKiporo kimechacha safi saaana
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] .hizo ni ndoto mkuuBarca anafungwa na Atletico Madrid Jumamosi