HahahaaaAlafu inakukeraaaa!!!
We mpende tu, maana kumuwaza hauachi.
Wachezaji ntakao kuja kuwaona barcelonaWatakiwa ukutane kwanza na yule dogo akuonyeshe mpira jinsi unavyochezwa then akupe appointment ya kuonana na teacher mwenyewe, Umtiti yeye ni mkabaji tu hatokusaidia chochote! Labda Mascherano kidogo...
Hahahaaa
Hamna sema kwa kuwa huwa nakuja hapa kwa ndugu zangu niwape hi , ndio utakuta nakumbuka, ila most of time yang Messi is irrelevant.
Wachezaji ntakao kuja kuwaona barcelona
Digne
Dennis suarez
Gomez
Umtiti
Mbona una muongelea kama vike mnaishi mtaa mmojaBinafsi sijaona bado mchezaji yeyote yule aliyekamilika kisoka,na mwenye busara,asiependa ugomvi kama Messi.
sasa wewe inakuaje-kuaje umchukie kiasi hicho??
- Hana majivuno
- haringi,
- sio muongeaji
- hauzi sura,
- sio mbinafsi,
- Si mtu wa misifa
- wadogo na wakubwa anawapa heshima yao
Mbona una muongelea kama vike mnaishi mtaa mmoja
Uo ni uongo sasa
Mkwepa kodimchezaji utamjua tu tabia yake,na sijawai sikia skendo ya aina yeyote kafanya...labda mwenzagu utakua unayajua unidokeze😀
Man U itakuua dogo......SIFA 8 ZA MASHABIKI WA RONALDO
1. Wengi wao ni manyumbu kutoka manure united (man 4ngo).
2. Hawajawahi kucheza hata mpira wa makaratasi (sodo)...yani kutuliza mpira hata kupiga danadana moja hawawezi.
3. Wengi wao ushabiki wa mpira wameanzia ukubwani.... ndo mana hawana facts always wao kuropoka tu
4. Wengi wao wametokea kijijini.... mjini wameingia juzi juzi tu wakati rashford kashaanza kucheza pale man4ngo.
5. Kikabila wengi wao ni wasukuma kama sio wahaya.
6. Wengi wao wanaishi kwa waume wa dada zao (shemeji zao) na kama sio basi ujue ni mvulana anaeishi kwa babake na mamake.
7. Wengi wao ni wanyoa viduku, wapiga milege, wala ngada, team wema sepetu, timu bongo movies n.k.... ivo yan uvulana uvulana mwingiiiiiii
8. Wengi wao ni vishabiki vya ccm ambavyo kazi yao ni kupiga domo tu kwenye vijiwe vya kahawa kumtetea ronaldo.9
9. ..................................................
Ongeza ya kwako niliyoisahau hapo
Man U itakuua dogo......
Wanampenda sana Messi na mara nyingi humuota.SIFA 8 ZA MASHABIKI WA RONALDO
1. Wengi wao ni manyumbu kutoka manure united (man 4ngo).
2. Hawajawahi kucheza hata mpira wa makaratasi (sodo)...yani kutuliza mpira hata kupiga danadana moja hawawezi.
3. Wengi wao ushabiki wa mpira wameanzia ukubwani.... ndo mana hawana facts always wao kuropoka tu
4. Wengi wao wametokea kijijini.... mjini wameingia juzi juzi tu wakati rashford kashaanza kucheza pale man4ngo.
5. Kikabila wengi wao ni wasukuma kama sio wahaya.
6. Wengi wao wanaishi kwa waume wa dada zao (shemeji zao) na kama sio basi ujue ni mvulana anaeishi kwa babake na mamake.
7. Wengi wao ni wanyoa viduku, wapiga milege, wala ngada, team wema sepetu, timu bongo movies n.k.... ivo yan uvulana uvulana mwingiiiiiii
8. Wengi wao ni vishabiki vya ccm ambavyo kazi yao ni kupiga domo tu kwenye vijiwe vya kahawa kumtetea ronaldo.9
9. ..................................................
Ongeza ya kwako niliyoisahau hapo
Sema Manfongo, hivi bado ipo?Man U itakuua dogo......
jana mmeponapona.Man U itakuua dogo......