FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Leo dunia imejua mambo kadhaa kuhusu Spain.
Inaonekana Spain ina timu zilizo na wachezaji bora sana. Kumbuka mchezaji bora wa mwaka wa 1,2,3,4,5 wote wanatoka Spain katika timu tatu kubwa za Real Madrid, Barcelona na Atletico Madrid.
Lakini katika tano bora, wachezaji watatu wanatoka FC Barcelona ambao ni Mess-2,Suarez-4 na Neymar-5!
Hongera Spain, Hongera FC Barca, Hongera MSN!
 

Timu bora sana Barca.
 
Reactions: PNC

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…