FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Nishamjibu mkuu labda kama nawe una swali ruksa kuuliza
Shukran tupo pamoja sina swali ila nilipenda kukupongeza kuna andiko lako moja ulikiri baada ya first 11 hamna kikosi kipana ndo maana inapotokea injuries inawapa tabu pale uliweka unazi pembeni ukaongea kiuanamichezo.
 
Reactions: PNC

sawa mkuu Tunakukarbisha Camp Nou
 
AGG vipi ndugu. Nipe matokeo ya Jumanne
Barcelona walilazimishwa kupoteza kwa jumla ya Goli 3 baada ya kuanza soka safi huku wakitangulia kufunga goli maridad na kumilik mpira kwa mda wote

UNA LINGINE MKUU
 
Barcelona walilazimishwa kupoteza kwa jumla ya Goli 3 baada ya kuanza soka safi huku wakitangulia kufunga goli maridad na kumilik mpira kwa mda wote

UNA LINGINE MKUU
Sasa walilazimishwa vipi tena? Mlipigwa tatu. Unajitetea eeh

Reactions: PNC
Usifananishe man u na vibonde barcelona
Nafikir shetani anachukiwa na kila mtu pamoja na matendo maovu ila sivipendi vitu vitatu katika dunia hii

1: LUMUMBA

2: MAN U

3: YANGA YETU

nafikir nimepigilia msumali kwenyewe

VIVA BARCELONA
 
Hizi rumours za Serge Aurie kujiunga nasi zinanifariji sana. Huyu jamaa ataimarisha beki kwakweli. Ni mzuri sana hilo halina ubishi
 
Reactions: PNC

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…