Yani mm nikishamuona huyo methew najua tunapigwa yan huyu hafai hata kuwekwa benchi auzwe tu....ndio auzwe wa kazi gani sasa yani hana kiwango cha kucheza Barcelona
Duuh Jana matheu kazingua. Sijui kwa nn Enrique analipenda hili boya yani ni lakuuziwa ligi Daraja la 3 huko. Alafu pia atafute solution pale Busi anapodrop form maana tutaumia sana. Kutokuepo kwa messi ni shida kubwa tu kwa Luis Suarez. But pique to me is our hero.