FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Sifa moja ya mwana michezo ni kuto panic, Hata sijapanic ila nimeona hamni tendei haki, kwa mnacho kifanya
I hope tuta kuwa tunajadili mpira zaidi kuliko kujadili Id yangu.
PNC 1
TUKO PAMOJA MKUU kwani hata ukipanic maadam kwenye avatar yako unacheka basi hakuna tatzo
 
We win together, we lose together because we are cules forever.[HASHTAG]#ForcaBarca[/HASHTAG].
 
Reactions: PNC

Punguza jaziba! Kwani uongo hata uongeaji wako unakusuta.yaani ni mtu mtalatibu hupendi kutukana wala kukasilika ndio nachokupendea @ Szczesny
 
Reactions: PNC
LEO NI FC BARCELONA vs CELTIC

UEFA CHAMPIONS LEAGUE

SAA 3:45 USIKU
 
UTABIRI WANGU UMTITI ATANG'ARA SANA LUCAS ATATISHA NA NEYMAR ATAWANYANYASA SAANA SUAREZ ATAKUWA TISHIO NA MESSI ATAFUNGA KUANZIA 2

FULL TIME BARCELONA NI KUANZIA 5+
 
Japo mfalme wa soka majeruhi lakini no problem mazee, leo tunauwa mamaee,

My Prediction....EL BARCA 3-0 WATOTO

KING -1
MNYAMA S- 1
TURAN-1
 
3 Piqué
4 I. Rakitić
5 Busquets
9 L. Suárez
10 L. Messi
11 Neymar
18 Jordi Alba
20 Sergi Roberto
21 André Gomes
23 S. Umtiti
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…